Kuna mashabiki wa simba wakiambiwa ukwl kuwa timu yao ni mbovu kutokana na uongozi wa ovyo wanaona kama wanaonewa, yanga ni timu kubwa na kwasasa sio level ya simba ambao wameshuka kiwango, yule mzee aliepost kumlaumu camara ana matatizo yake binafsi huenda ndo aliuza game, huwez yaona mapunguf...