Mchezo wa Ligi Kuu ya NBC kati ya watani wa jadi Simba vs Yanga umemalizika Kwa WANANCHI kuondoka na Ushindi wa bao 1 Kwa sifuri lililofungwa na Max Nzengeli
Umeionaje Dabi Ya Kwanza Ya Kariakoo Kwa Msimu 2024/2025
Yan Simba hadi ijekumfunga yanga.....labda Mpaka migomba itoe mbaoMchezo wa Ligi Kuu ya NBC kati ya watani wa jadi Simba vs Yanga umemalizika Kwa WANANCHI kuondoka na Ushindi wa bao 1 Kwa sifuri lililofungwa na Max Nzengeli
Umeionaje Dabi Ya Kwanza Ya Kariakoo Kwa Msimu 2024/2025
Sio mechi ya kuchambua hii magori ni kama namba tu kama mwana simba inaniuma gori la kitapeli kama lile ... hii ndy ligi bora namba sitaMchezo wa Ligi Kuu ya NBC kati ya watani wa jadi Simba vs Yanga umemalizika Kwa WANANCHI kuondoka na Ushindi wa bao 1 Kwa sifuri lililofungwa na Max Nzengeli
Umeionaje Dabi Ya Kwanza Ya Kariakoo Kwa
Kamuulize kijili atakujibTumejifunga kupitia Kijili au kafunga max?
Moja ya derby mbaya kuwah kuona uenda maji yamechangiaMchezo wa Ligi Kuu ya NBC kati ya watani wa jadi Simba vs Yanga umemalizika Kwa WANANCHI kuondoka na Ushindi wa bao 1 Kwa sifuri lililofungwa na Max Nzengeli
Umeionaje Dabi Ya Kwanza Ya Kariakoo Kwa Msimu 2024/2025