Big up Young Africans ππ.... Njia rahisi ya kumpiga adui ni kumdhoofisha.
Naweza sema this is the biggest downfall Kwa viongozi wa Simba.
Silaha kama Chama haikupaswa iende Kwa adui wako wa karibu.... Ni kweli hakuna mchezaji mkubwa kuliko team lakini angeenda kwingineko sio yanga.
Ichi kitu...