Taarifa ya Tuzo kutoka TFF inasema
Tuzo za Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) sasa zitakuwa zikifanyika wakati wa michezo ya
Ngao ya Jamii.
Lengo la mabadiliko ya Hafla hizo za kuwatuza wachezaji bora wa msimu ni kufanya maboresho ya kulifanya tukio kuwa bora zaidi kukidhi malengo na mahitaji yake.
Kwa mabadiliko hayo hafla ya Tuzo za TFF kwa msimu wa 2023/2024 itafanyika wakati wa michezo ya
Ngao ya Jamii kufungua msimu wa 2024/2025.
Tuzo za TFF ni tukio la kuzawadia wanamichezo waliofanya vizuri katika mashindano yanayoandaliwa na TFF/Bodi ya Ligi (TPLB) na matukio mengine rasmi yenye kuambatana na mpira wa miguu hapa chini.