Search results

  1. H

    Kipi Kinakwamisha Simba Na Yanga Kutokua Na Uwanja Kama Huu?

    Mada dhaifu sana Uwanja niwa Manispaa ya Kinondoni Mapato wanayopata simba na yanga kwa mwaka, hayawezi lingana na mapato ya manispaa ya kinondoni kwa mwaka. Kama uwanja ungejengwa kwa mapato yaliyopatkana kutokana na KMC FC tungekuwa na jambo la kuwauliza hawa SSC & YNG. Nafikili busara...
  2. H

    Rekodi Za Leonel Ateba Mshambuliaji Mpya Wa Klabu Ya Simba

    Fred. Anakwenda misri kwa mkopo wamuda mrefu wenye kipengele cha kumsajili moja kwa moja ikiwa atakidha vigezo. Ayoub bado yupoyupo sana SSC🅾
  3. H

    Tusanue Hapa Utapeli Mpya Unaoujua Tujilinde Nao Mapemaaa

    Mkopo wa haraka bila riba, ingia kwenye hii linki ujipatia kias unachotaka. Haya malink ni ya hackers ukiingia umejiroga, wanakomba salio kwenye sim mpk benki kama usipokaa vzur
  4. H

    Hii Kauli Ya AHMED ALLY Mmeipokeaje Wana SIMBA? Mnakubaliana Nae?

    Some how, tukipata striker wamaana tutawatesa wengi msimuhuu na mingine ijayo..!!
  5. H

    Kindege (Aviator) Kilivyosepa Na Milioni 7 Ya Mtaji Najihisi Kufa

    Pole sana, hilo ni funzo kubwa kwetu sote wana kijiweni.. Wiki kadhaa zilizopita admini wetu alieleza ni kwanamna gani huu mchezo wa Avietor unavyo filisi watu, lkn kuna watu walikaza mafuvu, ona sasa yaliyo mkuta kijana mwenzetu. Bina fsi nakikubali sana hiki kijiwe chetu coz tunapata chakula...
  6. H

    Ujue Mchezo Wa Aviator Au Kindege Na Siri Zilizojificha Nyuma Yake

    Almanusura niingie mkenge hii kitu inatrend had naogopa.. All in all thnx admini kwa elimu hii🙏
  7. H

    Sema kuna namna flani sahiv matapeli wamepungua eenh? au wamevumbua njia mpya??

    Matapeli bado wapo hata hapa kiJiweni Hiki kijiwe jau.
  8. H

    Hii Kauli Ya Mo DEWJI Anamaanisha Nini?

    Chama👋👋👋
  9. H

    Kauli Ya Mwigulu Wakati wa Uwasilishaji Wa Bajeti Mmeipikeaje Wana KIJIWENI?

    Tuliambiwa kwenye hii tim wenye akili ni wawili tuu