Search results

  1. Y

    FT : Tanzania 0 Ethiopia 0 | Mna Lipi La Kuzungumza WAZALENDO 😅

    TANZANIA KUCHUKUA KOMBE LA AFCON LAMDA TULIIBE
  2. Y

    Darasa La Bure Kwa Wana KIJIWENI Kuhusu Sakata La Kibu

    Sawa kuhusu kuvunja mkataba inaiwezekana lakini sio mwanzo wa mkataba yaani kibu amesha Saini mkataba mpya mwaka huu kwaiyo haiwezekani kuvunja mkataba wakati bado hajautumikia hata kidogo so kuvunjika kwake ni vigumu saana kutokana na nahitaji aliyopewa kwenye mkataba wake kutokana na Hilo...
  3. Y

    Baada Ya Taarifa Ya Hukumu Na Yale Ambayo Yanaendelea Wana YANGA Msimamo Wenu Ukoje?

    Ili kudhibiti migogoro ya baadae ni lazima tuanze sasaivi tusimsubiri yajekuwa makubwa ndiyo tuongee Hawa wazee wako sahihi angalieni mbali acheni kunanganywa na pipi ya sasa jamani kaeni fikilieni na siyo kusema na kuchangua mambo yatakayoleta matokeo mabovu hapo baadae tulizeni mafuvu hayo...
  4. Y

    DERBY YA SUDAN Kupigwa Bongo Azam Complex ( AL HILAL vs AL MARREIKH

    Nikweli ni kitu ninacho ipandisha hadhi Tanzania hususani kwenye secta ya michezo ukarimuwetu ni muhimu saana kwenye mchezo huo Kwan KUPITIA mchezo huo kutafanya watu mbali mbali kutoka nchi mbali mbali kuzidi kupenda ligi yetu.pongezi kwa TFF Kwan kuonesha kuwajari ndugu zetu wa sudan