Haha mbona kwa hasiraa, kwani kuna shido? chuki kwa taasisi kama yanga haisaidii kitu tena kwa mtu mwenye huna mbele wala nyumaa kama wewe,, kitu muhimuuu kwako wewe kwa sasa kapiganee mangungu ajiuzuru,, afuu Kwan bilion 20 zimeshaingizwaa kwa akaunt???😂😂
NB: yanga bingwaaa🔰🔰 mtapata tabu...