Darasa La Bure Kwa Wana KIJIWENI Kuhusu Sakata La Kibu

Hammy36

Administrator
Jan 17, 2023
56
54
5
Dar Es Salaam
𝗗𝗮đ—ŋ𝗮𝘀𝗮 𝗹𝗮 đ—¯đ˜‚đ—ŋ𝗲 :
Hakuna mkataba ambao hauvunjiki
📌

(FIFA) walitambua kwa LOOP-HOLE hiyo wachezaji wengi wataitumia vibaya kuziacha timu zao kiholela wanapopata ofa kubwa zaidi kutoka kwa timu zingine hivyo kufanya baadhi ya vilabu vyenye uchumi wa chini kuathirika. Wakaweka kanuni za kufuata.
(FIFA) waliweka vipengele vya kufuata pale ambapo mchezaji anataka kuvunja mkataba wake na timu aliyoingia nayo mkataba huo.
ℹī¸
Mchezaji akiwa hajalipwa mshahara kwa miezi mitatu (3) mfululizo anaruhusiwa kuvunja mkataba na kuondoka.
ℹī¸
Mchezaji asipocheza kikosini kwa chini ya asilimia 10% kwa msimu mmoja anaweza kuvunja mkataba na kuondoka.
ℹī¸
Yanapotokea machafuko | vita mchezaji anaruhusiwa kuvunja mkataba na kuondoka.
ℹī¸
Mchezaji anaweza kuvunja mkataba kwa kulipa thamani ya Release Cluse yake ambayo ipo kwenye mkataba (Kuununua mkataba) lakini kwa masharti yafuatayo :
◉ Hatakiwi THIRD PARTY, hairuhusiwi mtu wa tatu (Timu) kuwa nyuma ya mchezaji kushawishi avunje mkataba.
◉ Pande zote mbili zikubaliane. Sio kuweka mzigo (Pesa) tu na kusepa.
◉ Mkataba hauvunjiki katikati ya msimu mchezaji akiwa hana sababu za msingi hata kama kalipa pesa kuununua mkataba wake.
Vipengele vyote hivyo havikufuatwa kwenye sakata la Feisal, ilitumika busara.
Kitendo kile kiliwafanya wachezaji wengi Tanzania waamini kumbe unaweza kuvunja mkataba wakati wowote tu na isiwe issue.
Wanafunzi bora wa somo hilo ni :
◉ Awesu Asesu.
◉ Prince Dube.
◉ Valentino Mashaka.
◉ Kibu Denis.
ℹī¸
Kibu Denis anaamini anaweza kuuvunja mkataba wa Simba Sports Club wakati wowote ndio maana hana hofu.
Busara iendelee kutumika.

Mnayo ruhusa ya kunisahihisha kabisaaaaa niko tayari
 
vinik_49

Mgeni
Jun 9, 2024
19
11
5
Ila fei kama sio busara chamoto angekiona, nafkiri yanga ndo taasisi ambayo haisumbuliwi na wachezaji kwasababu ya uongozi usio na makandokando 🔰🔰
 
Sir tenge

Mgeni
Jun 5, 2024
11
4
5
Hata hao viongozi wa Simba wanajua kila kitu kuhusu Kibu ila wanashindwa kuweka wazi kuhofia hasira za wanachama na mashabiki wao,,,,,haiwezekani mpaka mchezaji mpaka anasafiri ndio watoke mbele waongee na umma,,hzi ni propaganda tu.
 
  • Like
Reactions: George Mondo

Rweyemamu

Mgeni
Jun 9, 2024
15
4
5
Hasira ambazo mashabiki na viongozi wa timu za kariakoo mnazionyesha kwa wachezaji wa timu zenu mgekuwa mnazionyesha hasira izo kwa wachezaji wa timu ndogo pale mnapowaiba na kutumia ubabe basi aya yanayotokea kwa Kibu yasingekuwepo,Sikuona mtu anaitetea Geita kwa Valentino, sikuona mtu anaitetea KMC kwa Awesu,hata wachambuzi wanacheka cheka tu lakini ili la Kibu mnalitolea macho,Tuweni fair kwa wachezaji wote.
 
yonathan

Mgeni
Jun 23, 2024
10
3
5
Sawa kuhusu kuvunja mkataba inaiwezekana lakini sio mwanzo wa mkataba yaani kibu amesha Saini mkataba mpya mwaka huu kwaiyo haiwezekani kuvunja mkataba wakati bado hajautumikia hata kidogo so kuvunjika kwake ni vigumu saana kutokana na nahitaji aliyopewa kwenye mkataba wake kutokana na Hilo sharti namba Moja kwamba kusiwe na third part yaani mti au timu yeyote nyuma ya mchezaji so itakuwa ngumu na hicho anacho kifanya anajijengea chuki kwa viongozi wa simba na hata kwa mashabiki wa simba kwani alishajijengea Jina hivyo huku ni kujishusha thamani yake.....
 
Jul 25, 2024
7
2
5
𝗗𝗮đ—ŋ𝗮𝘀𝗮 𝗹𝗮 đ—¯đ˜‚đ—ŋ𝗲 :
Hakuna mkataba ambao hauvunjiki
📌

(FIFA) walitambua kwa LOOP-HOLE hiyo wachezaji wengi wataitumia vibaya kuziacha timu zao kiholela wanapopata ofa kubwa zaidi kutoka kwa timu zingine hivyo kufanya baadhi ya vilabu vyenye uchumi wa chini kuathirika. Wakaweka kanuni za kufuata.
(FIFA) waliweka vipengele vya kufuata pale ambapo mchezaji anataka kuvunja mkataba wake na timu aliyoingia nayo mkataba huo.
ℹī¸
Mchezaji akiwa hajalipwa mshahara kwa miezi mitatu (3) mfululizo anaruhusiwa kuvunja mkataba na kuondoka.
ℹī¸
Mchezaji asipocheza kikosini kwa chini ya asilimia 10% kwa msimu mmoja anaweza kuvunja mkataba na kuondoka.
ℹī¸
Yanapotokea machafuko | vita mchezaji anaruhusiwa kuvunja mkataba na kuondoka.
ℹī¸
Mchezaji anaweza kuvunja mkataba kwa kulipa thamani ya Release Cluse yake ambayo ipo kwenye mkataba (Kuununua mkataba) lakini kwa masharti yafuatayo :
◉ Hatakiwi THIRD PARTY, hairuhusiwi mtu wa tatu (Timu) kuwa nyuma ya mchezaji kushawishi avunje mkataba.
◉ Pande zote mbili zikubaliane. Sio kuweka mzigo (Pesa) tu na kusepa.
◉ Mkataba hauvunjiki katikati ya msimu mchezaji akiwa hana sababu za msingi hata kama kalipa pesa kuununua mkataba wake.
Vipengele vyote hivyo havikufuatwa kwenye sakata la Feisal, ilitumika busara.
Kitendo kile kiliwafanya wachezaji wengi Tanzania waamini kumbe unaweza kuvunja mkataba wakati wowote tu na isiwe issue.
Wanafunzi bora wa somo hilo ni :
◉ Awesu Asesu.
◉ Prince Dube.
◉ Valentino Mashaka.
◉ Kibu Denis.
ℹī¸
Kibu Denis anaamini anaweza kuuvunja mkataba wa Simba Sports Club wakati wowote ndio maana hana hofu.
Busara iendelee kutumika.

Mnayo ruhusa ya kunisahihisha kabisaaaaa niko tayari
Umeongea pure facts kabisaa kakaa