Search results

  1. G

    Ushauri wangu kwa viongozi wa Simba kuhusu Clatous Chota Chama

    Ni kweli haipingiki kuwa Tripple C ni bora na muhimu kwa club ya Simba,lakini kwa umri wake na pesa anayoihitaji heri achwe akasepe na kiasi hicho anachokihitaji kipelekwe kwa mchezaji bora na ambaye bado ana energy ya kuipambania team. Vilevile,hizo nyodo zake za kuidengulia team kila mwisho...