City walicheza exactly Spurs walivyotaka, " Chaos Football" kila kitu walifanya kwa haraka badala ya patience na Spurs ukiwapa nafasi ya counter attacks they are good na walitengeneza counter attacks nzuri sana
Pep atakuwa anapenda pace, ball striking na unpredictability ya Alvarez shida ni...