Search results

  1. A

    Kijiwe cha Wekundu Wa Msimbazi

    John Bocco ametangaza kustaafu kwake kutoka soka akiwa na umri wa miaka 34! Kipenzi cha mashabiki. Nguli wa klabu. Nahodha. Kiongozi! ✨ Bocco sasa ataelekeza nguvu zake katika taaluma ya ukocha. Mashabiki wa Simba, shirikisheni kumbukumbu zenu nzuri za nahodha wenu..
  2. A

    Simba wanaweza kufanya vizuri shirikisho mkashangaa

    Huko shirikisho timu huwa zina hasira sana Simba asipojipanga hata group stage hatoboi
  3. A

    Kwanini Simba ssc msim huu anaenda kumaliza nafasi ya tatu kwenye legea ya NBC!!?.

    Nafasi ya tatu hashiriki klab bingwa anashiriki kombe la shirikisho
  4. A

    Kukatwa Alama Kisa Ushirikina Ligi Kuu Umeipokeaje?

    Hii ikipita itakuwa nzuri sana, watu washinde mechi kihalali.
  5. A

    Azam vs Yanga Kupigwa Zanzibar TFF Mmezingua

    Fainali ya Kombe la Shirikisho la Benki ya CRDB sasa itachezwa katika Uwanja wa New Amaan, Zanzibar badala ya Babati mkoani Manyara. Fainali hiyo kati ya Azam FC na Yanga SC itachezwa Juni 2 mwaka huu katika Uwanja wa New Amaan kuanzia saa 2.15 usiku. Kwa maoni yangu hii haijakaa sawa kabisa...
  6. A

    Unauza nini leo?

    Weka Bidhaa Unayouza Na Mawasiliano Yako Na SEHEMU Ambayo Unapatikana Mfanye Biashara...
  7. A

    Kufuzu Kwa Yanga Robo Fainali Ashukuriwe MO DEWJI?

    Ni kweli kabisa, Mo Dewji alitoa kauli ile kwa upendo kabisa lakini Ahmed Ally amekuja kuitamka visivyo na kwa wakati usio sahii. Yanga kufika robo fainali imepambana yenyewe, wachezaji, benchi la ufundi, uongozi na pia mashabiki. #YoungAfricans #Wananchi
  8. A

    Simba Au Yanga Nani Kutoboa Makundi Ligi Ya Mabingwa?

    Mimi naenda na yanga kwasababu kundi lake kidogo halina ushindani mkubwa kama kundi la Simba. Yanga akishinda kesho basi atafuzu hatua ya makundi na kuelekea kuania ubingwa.
  9. A

    MAYELE ANARUDI BONGO? Tumtegemee SIMBA, AZAM au kurudi YANGA?

    Labda Azam maana wao ndo matajiri.
  10. A

    Mbinu Zitakavyoiamua Mechi Kati Ya Asec Vs Simba

    Asec Mimosa na mfumo wake wa 4-4-2 inaweza ikashinda, na hivo yupo nyumbani. Benchika inabidi atumie akili nyingi sana.
  11. A

    USAJILI.

    BREAKING | Liverpool na Fc Bayern Munich zimefikia makubaliano juu ya uhamisho wa Sadio Mane Nyota huyo atafanyiwa vipimo wiki ijayo pamoja na kusaini mkataba wa miaka mitatu kama mchezaji mpya wa Bayern.
  12. A

    USAJILI.

    OFFICIAL: Mshambuliaji wa klabu ya Arsenal Eddie Nketiah ameongeza mkataba mpya wa kuendelea kuitumikia klabu hiyo hadi mwaka 2027. Nketiah atavaa jezi namba 14 kuanzia msimu ujao.
  13. A

    USAJILI.

    Richard Arnold (Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Manchester United): "Tunafanya kila liwezekanalo ili kumleta De Jong na ninawaambia kwamba pesa zipo kwa ajili yake." "Kama klabu, tunafanya kila linalowezekana ili kufunga dili hilo, pesa zipo lakini kuna vikwazo ambavyo siwezi kuvieleza."
  14. A

    USAJILI.

    Liverpool wamemtambulisha mchezaji mpya Calvin Ramsay kutoka Aberdeen kwa usajili wa kudumu. Beki huyo wa kulia mwenye umri wa miaka 18 ambaye amesaini mkataba wa miaka mitano na Liverpool alikuwa Mchezaji Bora Chipukizi wa Chama cha Waandishi wa Soka cha Scotland 2021-22
  15. A

    KIMATAIFA

    UKRAINE YATINGA FAINALI MCHUJO KOMBE LA DUNIA TIMU ya Taifa ya Ukraine imefanikiwa kwenda Fainali ya mchujo wa kuwania tiketi ya Kombe la Dunia baada ya ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya wenyeji, Scotland usiku wa jana Uwanja wa Hampden Park Jijini Glasgow. Mabao ya Ukraine yamefungwa na Andriy...
  16. A

    Simba Sports Club Thread

    KIBU DENNIS MCHEZAJI BORA SIMBA MEI MSHAMBULIAJI wa Kimataifa wa Tanzania mwenye asili ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Kibu Dennis Prosper ameshinda tuzo ya Mchezaji Bora wa Simba mwezi Mei.
  17. A

    Taifa Stars

    STARS YAWAFUATA NIGER MECHI YA KWANZA KUFUZU AFCON COTONOU TIMU ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars imendoka leo kwenda Benin kwa ndege ya kukodi kwa ajili ya mchezo wake wa kwanza Kundi F kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) dhidi ya Niger Juni 4 Uwanja wa L'Amitié mjini...
  18. A

    Ligi Kuu Thread

    SHINDANO LA KUZICHANGIA SIMBA NA YANGA LAZINDULIWA LEO DAR SHINDANO maalum la mashabiki wa Simba na Yanga kupigia kura klabu zao, Ipi Zaidi likezinduliwa leo Jijini Dar es Salaam. AzamTv ndiyo itakayoendesha shindano hilo na kila kura moja itapigwa kwa gharama yake Sh. 1,000 na fedha hizo...