Simba wanaweza kufanya vizuri shirikisho mkashangaa

Mshua

Mgeni
May 27, 2024
34
24
5
Simba huku shirikisho walipoanguakia huenda msimu ujao wakafanya vizuri au wakafika mbali,kuna kitu kinaniambia !!..
 

fat jooh

Mpiga Chabo
May 29, 2024
2
0
0
Kwamimi kama shabiki wa simba nachokiona watafanya vizuri.. ENDAPO WATACHANGA KALATA ZA USAJILI WACHEZJI WENYE VIWANGO BASI WATASONGA SANA NA PIA UONGOZI UKIBALIKA TUNABEBA KOMBE. inshallaah
 

Sereweji

Mgeni
May 29, 2024
5
3
5
Simba saiv tunaenda kuistjaabisha dunia shirikisho kwetu ni fursa mazuri yankuja unyamani
Shirikisho pia nayo ni ligi note
 

Stuart 04

Mgeni
May 3, 2024
17
4
5
Simba mwaka huu shirikisho pagumu Ila Nampa nafasi yanga endapo itakuwa na consistence nzuri msimu ujao Basi FAINAL Klabu bingwa uwakika
Na hiyo Ni kutokana na timu zilizoingia Klabu bingwa mwaka huu nyingi Ni anazozimudu yanga, Ila shirikisho kuna wataalam kabisa😎