Search results

  1. A

    Kwa Orodha Hii , Nani Anastahili Ushindi Wa Tuzo Ya Ballon d'Or 2024?

    Lautaro Martinez @Eltoro Hutu asipochukua hii tuzo basi zitakua ni figisu tu... Kachukia ligi kuu ya Italia Kachukua ufungaji bora wa serie A Kachukua copa America πŸ‡¦πŸ‡· Kachukua ufungaji bora wa Copa America pia.. Sasa sijui nini kitafanya asipewe..πŸ‡¦πŸ‡·πŸ‡¦πŸ‡·
  2. A

    Lameck Lawi Kayeyuka SIMBA Anaenda Kucheza Ulaya

    Kwani huyu si kasajiliwa na simba au 🀣🀣🀣
  3. A

    Dube

    Kama Prince Dube kasajiliwa Yanga kweli?!! mbona hawamtambulishi
  4. A

    Mambo 5 Simba Inatakiwa Kufanya Kabla Ya Kuanza Pre-Season

    Admin.. mbn story ya goryna haiendelezwi. JamanπŸ€—πŸ€—
  5. A

    Story za ujenzi wa uwanja wa Yanga pale Jangwani ni danganya toto

    Fedha ni suluhisho la kila kitu, kama viongozi waking committed uwanja unaweza kujengwa hapohapo.
  6. A

    Tanzania yachaguliwa kuwa chuo cha mafunzo ya VAR

    Tanzania hata VAR hazisaidii... mashabiki wenyewe ni VAR tosha... cha msingi watuajiri tufanye hio kazi sisi wenyew πŸ˜€πŸ˜€
  7. A

    Yaliyomkuta Manji Yataenda Kumkuta MO Pale Simba?

    Vyote Sawa tu.. itakua vizuri tu hata yanga tuliteseka sana na Manji..😁😁😁
  8. A

    Waraka Mzito Wa Hamisi Kigwangalla |"Tunaingilia Kati Tutaunda Kikosi Kazi"

    Sisi kama simba.. Tunajua Simba ni mali ya modewji... πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
  9. A

    Waraka Mzito Wa Hamisi Kigwangalla |"Tunaingilia Kati Tutaunda Kikosi Kazi"

    Hahahaha.. raha sana 😁😁😁