Story za ujenzi wa uwanja wa Yanga pale Jangwani ni danganya toto

Mshua

Mgeni
May 27, 2024
34
24
5
Hizi hadaa ambazo uongozi wa Yanga pamoja na GSM wanaendelea kufanya kuhusiana na ujenzi wa uwanja wa Yanga pale Jangwani ni geresha tu ambazo hazitakuja kuzaa matunda yoyote zaidi ya kuwapotezea muda wapenzi, mashabiki na wanachama wa Deportivo de Utopolo.

Pale Jangwani ni sehemu ya mkondo wa maji, hakuna Shirika au Kampuni yoyote ya Bima itaenda kukubali kudhamini mradi wa uwanja wa mpira eneo lile na bila Bima hakuna Benki itaenda kutoa pesa zake kuufadhili. Tukifikia hapo hata uende kuhonga wanasiasa na watendaji wa halmashauri ni kazi bure tu. Ukiona Shirika la Bima la Taifa (NIC) wamekubali kufadhili mradi huu, jua haya ni matumizi mabaya ya rasilimali za nchi kama ambavyo wanapoteza pesa za umma kwa kutoa pesa za wachezaji wa mwezi kwa katimu kasiko na mbele wala nyuma.

Namhusia CAG (Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali) aanze mapema kutupia jicho kali mradi wa Bonde la Msimbazi unaofadhiliwa na Benki ya Dunia ili kujihakikishia kuwa pesa za serikali zilienda kufanya yale yaliyokusudiwa badala ya kufadhili ndoto za alinacha za Deportivo de Utopolo.

Eneo lote ambalo zamani lilikuwa ni Uwanja wa Kaunda inabidi lichukuliwe na Serikali kwa ajili ya kupitisha maji na jengo lao libomolewe ili zijengwe kingo za kuzuia maji pamoja na bustani kama ambavyo mradi wa Bonde unavyotaka. Kama mko serious kwenye kutatua changamoto za mafuriko hatutakiwi kucheka na kima. Msituchanganye na hadaa zenu za uzinduzi wa jengo la miaka 40 iliyopita na viongozi wa Serikali waache kutumika katika hizi danganya toto.



Povu ruksa.
 

Rango21

Mpiga Chabo
Jun 11, 2024
2
0
0
Wewe unaongea kma nani
Unakataa kwa mamlaka gani? Atakayekuslza wew na kukuunga mkono nae atakuwa ni mwehu vilevile anayetawaliwa na chuki kwenye akili yake na sio hoja logic.

maana wote hpa ni mashahidi kuwa hakuna kinachoshindikana kukiwa na pesa,hata juu na chini ya bahari watu wamejenga kwahyo huna mashiko blaza kusema tukusiklze wew kapuku huna Mbele wala nyuma na tuzpge chini kauli za viongozi wetu pendwa
 

Rango21

Mpiga Chabo
Jun 11, 2024
2
0
0
Fedha ni suluhisho la kila kitu, kama viongozi waking committed uwanja unaweza kujengwa hapohapo.
Wawe committed bila pesa,sasa mkondo wa mto utahamishwa kwa maombi au.

ujenzi wa pale ni gharama ndo mana ujenzi unasuasua kutokana na nature ya eneo lenyewe kwahyo nguvu ya pesa ni muhimu pale
 

vinik_49

Mgeni
Jun 9, 2024
19
11
5
Haha mbona kwa hasiraa, kwani kuna shido? chuki kwa taasisi kama yanga haisaidii kitu tena kwa mtu mwenye huna mbele wala nyumaa kama wewe,, kitu muhimuuu kwako wewe kwa sasa kapiganee mangungu ajiuzuru,, afuu Kwan bilion 20 zimeshaingizwaa kwa akaunt???😂😂
NB: yanga bingwaaa🔰🔰 mtapata tabu sana kddk mpk msemeee😂