Search results

  1. V

    Darasa La Bure Kwa Wana KIJIWENI Kuhusu Sakata La Kibu

    Ila fei kama sio busara chamoto angekiona, nafkiri yanga ndo taasisi ambayo haisumbuliwi na wachezaji kwasababu ya uongozi usio na makandokando 🔰🔰
  2. V

    Ukipata Nafasi Ya Kuzungumza Na Kibu Denis Ungemwambia Nini?

    Admin keshokutwa tunafika 300k inshallah 💪💪
  3. V

    Hili La Mkude Na Yanga Lina Elimu Ndani Yake

    Nungu nungu ndani ya jangwa lenye asali na maziwa, ubingwa mngine next season tukiwa na nungunungu alooo🔰🔰
  4. V

    Yanga Wamejaza Washambuliaji Wengi Kuliko Wakabaji

    yanga Ina wakabaji wanaoweza kuoffer kama washambuliaji pia muda, sure boy ni mojawapo
  5. V

    Nchi wanazotoka wachezaji, hulka na tabia zao ( zingatia haya kipindi cha usajili)

    kuna hawa waarabu wanakuja bongo kama Ayoub, wao wanakuwa wamefata nn bongo
  6. V

    Mfungieni na Kaduguda aliyesema Mangungu hajawahi kuongoza hata Kata vinginevyo mtaonekana waoga

    vita vya kunguru,, pigenii domo tunawasubr msimu ujao 😂😂
  7. V

    Unataka VAR Vipi Kuhusu Miundombinu?

    Me nafkr VAR iwepoo kwa viwanja vinavyokidhi bas
  8. V

    Kauli Ya Mwigulu Wakati wa Uwasilishaji Wa Bajeti Mmeipikeaje Wana KIJIWENI?

    Hamna shidaa kiongozii pacome awee kwa nyuma kama mwenge😂😂
  9. V

    Okrah Ndio Basi Tena Yanga

    Daah bad luck kwakee asee..🔰
  10. V

    Zambia 0 Tanzania 1 Mchezaji Gani Amekuvutia Katika Mchezo Huu?

    Eh bana leoo mwamnyetoo na baruaa wamekichafuaa mnoo
  11. V

    Hizi Hapa Timu 16 Zitazokiwasha Kagame Cup 2024

    Fainali ya yanga na mazembe hii
  12. V

    Story za ujenzi wa uwanja wa Yanga pale Jangwani ni danganya toto

    Haha mbona kwa hasiraa, kwani kuna shido? chuki kwa taasisi kama yanga haisaidii kitu tena kwa mtu mwenye huna mbele wala nyumaa kama wewe,, kitu muhimuuu kwako wewe kwa sasa kapiganee mangungu ajiuzuru,, afuu Kwan bilion 20 zimeshaingizwaa kwa akaunt???😂😂 NB: yanga bingwaaa🔰🔰 mtapata tabu...
  13. V

    Tanzania yachaguliwa kuwa chuo cha mafunzo ya VAR

    Bongo sisi wenyeweee ndo VAR semaa boraa ijee tu huenda tutapiga hatua nyinginee kwenye soka NB:yanga bingwa🔰
  14. V

    Waraka Mzito Wa Hamisi Kigwangalla |"Tunaingilia Kati Tutaunda Kikosi Kazi"

    tuko nawewee mpaka wakusweke ndani 😂