Pole sana, hilo ni funzo kubwa kwetu sote wana kijiweni.. Wiki kadhaa zilizopita admini wetu alieleza ni kwanamna gani huu mchezo wa Avietor unavyo filisi watu, lkn kuna watu walikaza mafuvu, ona sasa yaliyo mkuta kijana mwenzetu.
Bina fsi nakikubali sana hiki kijiwe chetu coz tunapata chakula...