Uzi huu uliandikwa na Dollar Musk kwenye ukurasa wake wa twitter hapa > https://twitter.com/nftsknowledge
Nfts maana yake ni? Ni Mali za kidigitali inaweza kuwa nyumba, gari, club, office, au kazi za Sanaa kama muziki, video na zinginezo zinakuwa zimeunganishwa na Blockchain technology. Mradi...