Search results

  1. D

    Panga Kikosi Chako Cha Mchezo Wa Leo SIMBA DAY Na Tabiri Idadi Ya Magoli Pia

    Salim Kapombe Zimbwe Chamou Che Malone Okejepha Mavambo Mutale Chasambi Ahoua Mukwala
  2. D

    DERBY YA SUDAN Kupigwa Bongo Azam Complex ( AL HILAL vs AL MARREIKH

    Hili ni jambo kubwa Kwa nchi Kwan inaonesha nch yetu inapenda michezo pia ni nch ya amani yenye uhusiano mzur na nchi nyingne 👍
  3. D

    Hii Kauli Ya Mo DEWJI Anamaanisha Nini?

    Mo yuko Sahi Kwa kuwa Simba saiv inataka kujitengeneza upya haina haja ya kuwa na mchazaj ámbae hataki kuitumikia tim bora kuachana nae wachezaj n weng wenye uwezo wa kucheza simba
  4. D

    Thank You Iendelee Kwa Nani SIMBA SC ?

    Hizo THANK YOU zinatolewa Kwa mapendekezo ya nani make ata kocha hajajulikana bado
  5. D

    Tetesi Zote Za USAJILI Hizi Hapa

    Dah ila Kwa timu ya Pamba yasije yakawakuta kama timu zngne miaka ya nyuma afu wakajikuta wanarudi walikotoka
  6. D

    Nchi wanazotoka wachezaji, hulka na tabia zao ( zingatia haya kipindi cha usajili)

    Sijajua kwa upande wa waarabu kama Morocco, Egypt, Algeria na Tunisia
  7. D

    Simba wakimpa Thank you CHAMA ndo nitaamini wako Serious na Mabadiliko

    Uyu mchezaji bado ana uwezo wa kuendlea kucheza Simba ila wamtaftie mchezaji mwenye uwezo zaidi wa kumpa challenge