Sawa kuhusu kuvunja mkataba inaiwezekana lakini sio mwanzo wa mkataba yaani kibu amesha Saini mkataba mpya mwaka huu kwaiyo haiwezekani kuvunja mkataba wakati bado hajautumikia hata kidogo so kuvunjika kwake ni vigumu saana kutokana na nahitaji aliyopewa kwenye mkataba wake kutokana na Hilo...