Search results

  1. Haji Maduka

    Unauza nini leo?

    Wanangu e me nahitaji hii kitu kwa yeyote anaejua wap zapatikana au anazo anichek 0655480057 baiskel ya umeme.
  2. Haji Maduka

    Unauza nini leo?

    Me nakuchek tuyajenge mwanangu
  3. Haji Maduka

    Sema kuna namna flani sahiv matapeli wamepungua eenh? au wamevumbua njia mpya??

    Eeeeee bwana hawa wajomba kuisha ni uongo aiseeee sasa hv wanambinu mbadala wanatumia ila niwashauri tu jaman tusifunguke sana maaana ukute tunao hapa wanatudekea tu ila kwakwel mungu awalaaaani sana walinipiga na kitu kizito mzeee sitokuja sahau mazeee.
  4. Haji Maduka

    Jinsi ya Kununua Bitcoin Tanzania na Jinsi ya Kuuza Bitcoin Tanzania

    Samahani kwa swali langu ndugu mtoa post nauliza ili nijue,,hii bitcoin ni biashara ile yakubadilishana fedha kama ya kenya kua ya Tanzania?