Search results

  1. J

    Mmeshinda lakini mna furaha?? Yanga Pointi 7 nafasi ya pili kwenye msimamo wa kundi

    Note the name Ibrahim Sidibe na Mousa koulibaly hao jamaa timu imefungwa lakini wao wameondoka mashujaa, jamaa wamekichafua sana
  2. J

    Ndoto ya Paris Saint-Germain ya kunyanyua Ligi ya Mabingwa inabakia hivyo stori

    Ndoto ya Paris Saint-Germain ya kunyanyua Ligi ya Mabingwa inabakia hivyo. Siku ya Jumatano, Bayern Munich iliichapa PSG 2-0 katika mechi yao ya mkondo wa 16 bora na kuwaondoa Lionel Messi, Kylian Mbappe na company, kwa jumla ya 3-0. Lilikuwa bao la Eric Maxim Choupo-Moting katika kipindi...
  3. J

    Chelsea ilifunga mabao mawili katika mchezo kwa mara ya kwanza 2023 na kutinga robo fainali ya Ligi ya Mabingwa

    Ahueni Bora zaidi Kova na Kai walionyesha kwa nini wao ni wachezaji wakubwa Lakini jamani vibadala vya Potter vilivunja sana mdundo na utulivu wa timu A
  4. J

    Tumeshinda lakini hatuna furaha papatupapatu

    Makocha wengine walikuwa wakija wanakuta timu iko hovyo wanashindwa kuiimprove lakini huyu kaja kakuta timu iko vizuri kaifanya iwe hovyo... Wameshinda lakini itakuwa muujiza kuwafunga Horoya kwa kucheza hivi..
  5. J

    Man City imekuwa bora zaidi kwa kushindana na wapinzani wakali

    Wilson ajue chance kama ile kuipata katika big match ni nadra sana alitakiwa afanye vizuri ile nafasi aliyoipata Mbinu mbaya ya kocha wa New Castle, hawakuwa wakali dhidi ya city , pasi mbovu, Alipaswa kuanza Alexander Isack, Murphy, Joe Willock tangu mwanzo wa kipindi cha pili. Murphy...
  6. J

    ETH amebadilisha Sana nidhamu pale Manchester united na amewapa kombe la kwanza baada ya miaka 6

    Namuangalia Varane na Martinez...Af nakumbuka Maguire na Lindelof Namuangalia Casemiro na Eriksen/Fred...af namkumbuka Tommy na Fred/Pogba OYAAA AMBIA MAJIRANI TUMEJITAFTA TUKAJISOMA DADEKIII
  7. J

    Erik Ten Hag anajua jinsi ya kubadilisha mienendo ya mchezo

    Erik Ten Hag anajua jinsi ya kubadilisha mienendo ya mchezo. ▪️Baada ya kipindi cha kwanza, Binafsi nilimtaka Sabitzer aingie kwa sababu ilikua wakishindwa katika eneo la kiungo, Watu wengi walitaka hivyo pia. ▪Erik Ten Hag badala yake, Alimtoa Weghorst na kumleta Antony kushikilia upana wa...
  8. J

    EPL Kuna timu tumezimis Sana unalikumbuka Chama Gani umelimis Kuliona

    Stock city hasa ile ambayo kiungo wake alikua nzonzi oyaa wamba walikua wamepanda hewani hatar full miguvu mipila ni ya juu tu hakuna maswala ya boli litembee
  9. J

    Nipe Mtazamo Wako Kuhusu Mechi Ya Leo

    Hatutakiwi kuwapa nafasi kucontrol game We need to attack mwanzo mwisho Naona tukimaliza pakti kwa Barca leo Rashfford peke yake
  10. J

    Jack Grealish na Erling Haaland walifungia Manchester City ushindi wa 3-1 dhidi ya Arsenal

    Naona Kama arsenal wanamuhitaji Jesus Sana Sana naona Kama angewasaidia sana
  11. J

    Liverpool Imerejea kwa ushindi

    Nampenda Robertson what a man 😂 Ushindi unaostahili na unaohitajika sana Hatimaye Liverpool ilionyesha kiwango kidogo Magoli mawili ya ugenini ni mazuri sana Wote walifanya kazi kwa bidii Icing kwenye keki ingekuwa Nunez kufunga ambaye alionekana mkali Inapendeza kuona tuna kuna wachezaji...
  12. J

    Us Monastir walichokifanya wameamua kumuachia Yanga Mpira au cheze wao wamejisemea kuwa tunataka point 3 muhimu nyumbani

    Aliemrudisha Kisinda katuchomesha tu hana msaada wowote,infact wingers wetu dhaifu sana hawana madhara ukimtoa miyeyusho Morrison wa mechi tatu anakosa mechi 5
  13. J

    Ten Hag ametupa matokeo ambayo tuliyakatia tamaa

    Sema tumeshinda2 lakini united imecheza chini sana....mimi kwamtazamo wangu leo nilizani martinez nilizani kutona tulivyo cheza gm iliyopita pale matofalini nikazani atacheza kiungo but all any all tumeshinda ila hm ijayo tukicheza km hivi na Leicester na kina vard mmmh sijui
  14. J

    Arsenal tokea mzunguko wa Pili uanze wamekuwa na mpira mzuri Ila matokeo mabaya

    Football Gods are smiling tonight, Mancity anacheza soka leo. Arsenal kuna mahali mliwatukana wazee wa EPL sio bure
  15. J

    Simba haikuwa na shida na Kocha shida ya Simba ilikuwa na kiungo mkabaji

    Bench la ufundi la simba lilaumiwe kwa matokeo ya leo. Hivi unawezaje kumtoa sakho na kumwingiza bocco. Nadhani substitution mbovu kuwahi kutokea Ni hii. Tazama chance alizikosa bocco. It's time to say goodbye John bocco , it's your time to retire
  16. J

    Yanga vs Namungo ilikuwa ni routine win kwa Yanga

    Pacha ya aucho na muda inagoma mapemaa tu bora bangala acheze kiungo na muda aucho apumzike
  17. J

    Uchambuzi wangu wa Real Madrid

    Hatujatumia hata 200M katika miaka 3 iliyopita, winga wetu wa kulia ni Asensio na mbadala wetu dc Mariano kusema ukweli hao 2 hata hawashiriki ligi ya mfalme sawa ni nini kinafuata bila Benzema na Courtois hatutashinda hata Elche b tuone kama floren analeta kitu Wanaenda kuitetea sana Madrid...