Search results

  1. M

    Man United dhidi ya Real Betis Mashetani Wekundu wakipata ushindi mnono wa Ligi ya Europa nyumbani

    Manchester United watakuwa wametamani kujibu kipigo chao cha aibu kwa Liverpool haraka iwezekanavyo, na walifanya hivyo kwa mtindo fulani kwa ushindi wa 4-1 wa mkondo wa kwanza wa hatua ya 16 bora ya Ligi ya Europa dhidi ya Real Betis. Sehemu kubwa ya maandalizi ya mechi hii ilitawaliwa na...
  2. M

    Chelsea ilifunga mabao mawili katika mchezo kwa mara ya kwanza 2023 na kutinga robo fainali ya Ligi ya Mabingwa

    Ikiwa Potter hatacheza tena Mudryk wanapaswa kumtoa kijana huyo kwa mkopo.. kwa kweli kocha hajui jinsi ya kufanya mabadiliko.
  3. M

    Tumeshinda lakini hatuna furaha papatupapatu

    Hii ni ile unapeleka mwanamke kutambulisha kwenu wazaz wanasema " kikubwa mmpendana " hapo ujue mwanamke wako mbaya broπŸ˜‚ Na Simba wanasema kikubwa point tatu
  4. M

    SWALA LA FEI WENGI WANALIJADILI KWA ANGLE YA KISHABIKI

    SWALA LA FEI WENGI WANALIJADILI KWA ANGLE YA KISHABIKI(WAPINZANI) ILA KWA UFUATAJI WA SHERIA, TARATIBU NA KANUNI ZA FIFA DOGO KAZINGUA BIG TIME. WANASEMAGA KUNGUNI AKINYWA HUNUKA, NDIO YANGA WANAMFANYA HIVYO NA YEYE ANATAPA TAPA (MFA MAJI) πŸ˜‚ KUOMBA OMBA HURUMA MPAKA MAMA KAINGIZWA KWENYE SAGA...
  5. M

    Man United tumepigwa kipigo cha aibu sana

    Tukubali tu jana tulizidiwa mbinu na Jurgen Klopp angalia goli la pili baada ya half time then angalia uwiano wa goli la 3 second half walituzidi maarifa ndani ya dak 15 wakatuadhibu. Na kuna watu walikuwa wanalalamikia mabeki ndiyo maana niliwashangaa sana yaani kila mchezaji alikuwa hachezi...
  6. M

    Manchester United watinga Quarter Final kwa kishindo

    Walio bench wangeshinda kama kawaida & nilisema pia Garnacho angefunga pia nilisema kila wakati tulihangaika bila Wan Bissaka, Dalot alikuwa akisambaratishwa hata hivyo umaliziaji mzuri kama ilivyotabiriwa & Manchester United waliwachapa bao rahisi mwishowe. Nilijua hatutawahi kuipoteza na...
  7. M

    Argentina Mabingwa wa Kombe la dunia wamejizolea tuzo uko FIFA

    Kocha Bora wa FIFA kwa wanaume -Lionel Scaloni! πŸ‡¦πŸ‡· GK Bora kwa Wanaume wa FIFA: Emiliano MartΓ­nez! πŸ‡¦πŸ‡· Mchezaji Bora wa FIFA kwa Wanaume: Lionel Messi! πŸ‡¦πŸ‡· Mashabiki Bora wa FIFA: Argentina! πŸ‡¦πŸ‡·
  8. M

    MASHABIKI WAMTAJA ALABA KAMA YUDA

    MASHABIKI WAMTAJA ALABA KAMA YUDA. Mashabiki wa Klabu ya Real Madrid wameanzisha kampeni ya Klabu yao kumwondoa Klabuni Mchezaji wao,David Alaba kufuatia Kumpigia Kura Lionel Messi kama Mchezaji Bora namba Moja wa Dunia huku Mchezaji mwenzake wa Real Madrid,Karim Benzema akimweka nafasi ya pili...
  9. M

    Faida za kucheza na mstari wa juu katika soka??

    Jitoe kwa mashambulio mengi ambayo hutengeneza nafasi nyingi kwa wakimbiaji na kusaidia kutengeneza wachezaji wanaofunga mabao, kupachika timu nyingine na kupunguza muda wao kwenye mpira kwa kuwakandamiza kuanzia mbele lakini ni hatari sana unapocheza dhidi ya wajuzi wenye kasi.
  10. M

    ETH amebadilisha Sana nidhamu pale Manchester united na amewapa kombe la kwanza baada ya miaka 6

    Maguire anawambia Nyie nipigienj tu kelele laki makwapa nitanyanyua mpende msipende timu una Casimero una Varani una Martinez una Bruno una Rashford usinyanyue kombe hata mmoja?
  11. M

    ETH ameirejesha timu ya Man United tena

    Kiukweli tumeangaika mda mrefu sana bila mafanikio nadhani huu ndo muda wa kurudisha heshima yetu sifa zote apewe uyu mwamba taratibu wataelewa kuna kale kamsemo Ambangile anasema "Tutawashangaza" Muangalie Varane na Martinez...Afu kumbuka Maguire na Lindelof Muangalie Casemiro na...
  12. M

    Takwimu za Fred Kwenye mashindano yote msimu huu

    FRED (takwimu) ✍️ Frederico Rodrigues (Fred) sasa amehusika katika mabao sita katika mechi nane zilizopita za mashindano yote. michezo 8 mabao 3 pasi za mabao 3 ✍️ Fred pia ameifungia Manchester United mabao 5 katika mashindano yote msimu huu hadi sasa, mabao hayo ni mengi zaiidi kwa Kiungo...
  13. M

    Man United imebadilika sana na inaenda kua tishio sasa

    Casemiro tumemzoea ila.... alitakiwa awe kwenye note: case ni kiungo bora mkabaji duniani kwa sasa.
  14. M

    EPL Kuna timu tumezimis Sana unalikumbuka Chama Gani umelimis Kuliona

    EPL kuna timu tumezimis Sana Kuna Fulham ya kina Boby Zamora, Dempsey, Sunderland wazee Mech Za Mchan Stadium Of Light,Blackburn kule Spain kuna Derpotivo,The Yellow Submarine, Italia Kuna Wakomboz Wa Ngambo Chievo Veron Unalikumbuka Chama gani umelimis kuliona ?????
  15. M

    Hii Game ilishaisha kabisa Uzembe wetu na utoto mwingi

    Timu msimu ujao itakuwa kali sana tumuombe mungu atuvushe salama tushuhudie maajabu ya Erik kinachonifanya nisubiri kwa hamu msimu ujao ni pamoja na kushuhudia uwepo wa wamiki wapya wa klabu.Leo ndio siku ya offer kupelekwa rasmi. Kuna uwezekano mkubwa wa klabu ya Man Utd kununuliwa na QSI...
  16. M

    Football na Sayans Football ni Sayansi

    Football na sayans Kwenye vitabu United ilionekana Kama 4231 lakin kwenye kucheza United walikua 442 Bruno winga kulia Sancho kushoto weghorst na Rashford Kama washambuliaji wawili wa uongo maana akuna anae simama hapo mbele tukiwa tunakaba ni 433 Sancho anaingia ndan Rashford pemben kushoto...
  17. M

    Jack Grealish na Erling Haaland walifungia Manchester City ushindi wa 3-1 dhidi ya Arsenal

    Jack Grealish na Erling Haaland walifungia Manchester City ushindi wa 3-1 dhidi ya Arsenal ambao unaipeleka timu ya Pep Guardiola kileleni mwa jedwali la Ligi ya Premia kwa gharama ya The Gunners. Vijana wa Mikel Arteta wako juu tu kwa tofauti ya mabao na wana mchezo mkononi kwa wapinzani wao...
  18. M

    Tatizo Simba au Vunjabei?

    Tatizo Simba au Vunjabei? Kuelekea Simba day jezi za msimu huu zilikua bado na hata zilipokuja zilikuja chache mpaka mashabiki wakataka kuuana, this time uzinduzi wa jezi ulifanyika kabla hata ya jezi kufika na tulipohoji walisema zingeuzwa leo lakini mpaka leo bado hazijafika.