Hii Game ilishaisha kabisa Uzembe wetu na utoto mwingi

Brenda

Mgeni
Oct 31, 2022
489
403
5
Dar es salaam
Hii game ilishaisha kabisa.

Ukweli ni kwamba Kwa yoyote alieona hii game tulianza dharau Baada ya kupata goli la pili,pasi za kistaa wakati goli Moja halina dhamana ujinga tu.

Tungecheza hii game kama bado Tupo nyuma ilikua ni historia nzuri sana Leo. Man U yashinda Kwa mara ya kwanza Nou Camp chini ya kocha mpya

Timu imejitaidi sana, kulingana na wachezaji tulionao.

Inaonyesha dhahiri still tunashida ya kuzuia defence Bado Kwa united
Defence ya Barca iko uchi sana tungempata mtu wa calliber ya Rashford basi tungeweza wasumbua sana leo

Hawa Barca wakawaida sanaaaaaa mpk wanalazimisha cross wafunge

Ila waarabu wamlete Mbape OT mana collabo lake na Rashid litakuwa 🔥

Tukutane kwenye matofali ya kuchoma ⚽❤️

87186956-9205-4620-B425-8D54A6F3CE68.jpeg
 

McRay

Mgeni
Nov 4, 2022
185
131
5
Timu msimu ujao itakuwa kali sana tumuombe mungu atuvushe salama tushuhudie maajabu ya Erik kinachonifanya nisubiri kwa hamu msimu ujao ni pamoja na kushuhudia uwepo wa wamiki wapya wa klabu.Leo ndio siku ya offer kupelekwa rasmi.

Kuna uwezekano mkubwa wa klabu ya Man Utd kununuliwa na QSI matajiri wakubwa hawa kutoka Qatar wanaofungamana na familia ya kifalme ya Qatar naota ndoto ya kumuona Mbappe Old Trafford msimu ujao.
 

Lukac

Mgeni
Nov 4, 2022
120
83
5
Barcelona na Man U ni tim ziliyumba kidogo misim iliyopita but kwa mchezo wa jana nilivyoona wote wako fiti na wataendelea kuwa bora zaidi,mtazamo wangu!!
 

jamal

Mgeni
Nov 4, 2022
148
90
5
Ila ile kucheza kuanzia nyuma ten hag inabid akubali tu kuwa hana wachezaji wa kutosha kucheza vile imesababisha goli la kurudisha leo dah 😢