Man United imebadilika sana na inaenda kua tishio sasa

jamal

Mgeni
Nov 4, 2022
148
90
5
Watu kila wakitaka kusema Barcelona ni ya kawaida, Wakikumbuka kwamba inaongoza ligi mbele ya Madrid kwa zaidi ya point 8 wanakaa kimya

Niliwaambia kwangu Mimi Pair ya Martinez na Varane ni imara zaidi ya duo zingine

Yule mtoto Ganacho anatia hasira mpaka Busquet akaamua Bora ampige kibao kata mdomoni maana alishadhalilishwa

Jana niliangalia match second half Man Unt wanacheza ball bhana acheni mchezo. Huyo Fredy Ndio balaa, Casemiro na Butcher ni Killer Players wa Kimyakimya wanaweza wakakuumiza na ukapewa kadi wewe.

Le Bruno ni mchezaji mwenye kutumia Akili nyingi, sub ya Weghorst kauingia Antony na akabadili game na akascore

Unajua Man utd shida yetu miaka yote hiyo ilkuwa ni kocha tu Gardiola aliwahi kusema apewe wachezaji hao hao utaona shughuli yake asa tumepata mtu sahihi

Man united walikuwa aggressive,sharp,hunger....sub ya Antony imetupa matokeo credits kwa ETH...Heading to the final on Sunday Finger crossed Rashford asiwe kaumia sana

Tusema ukweli, Man United wamepata kocha safari hii.

Wamesota sana kutafuta mbadala la Sir Alex Ferguson ila safari hii kuna matumaini ya kurejesha heshima waliyoipoteza kwa miaka 10.

Yaani sasa hivi changamoto iliyopo kuna baadhi ya wachezaji wanacheza below per average, wanatakiwa Ku pull up their socks kidogo, kila mchezaji kila mechi akicheza kwa kiwango tarajiwa tutakuwa eneo salama.


1677220411057.png
 
  • Like
Reactions: Lukac and McRay

McRay

Mgeni
Nov 4, 2022
185
131
5
Casemiro tumemzoea ila.... alitakiwa awe kwenye note: case ni kiungo bora mkabaji duniani kwa sasa.
 

Lukac

Mgeni
Nov 4, 2022
120
83
5
The Stratford end singing"Frenkie Frenkie whats the score" in the end is total Shit-housery!! Gottal love the english fans😂