Search results

  1. Z

    SWALA LA FEI WENGI WANALIJADILI KWA ANGLE YA KISHABIKI

    Fei Toto anatakiwa ajitafakari kama kwenye yeye ni professional footballer hakupaswa kuwa na hizi drama ukizingatia bado ni kijana mdogo mwenye ndoto za kufika mbali. Kosa sio kosa bali kurudia kosa ndio kosa, Fei arudi jangwani afuate utaratibu.
  2. Z

    Real Madrid ni klabu ya miujiza kamwe usiidharau linapokuja suala la ligi ya mabingwa usiwahi kudharau

    Hakuna team yoyote ulaya haiogopi kukutana na Madrid aise hawa jamaa hata ukiwafunga hawapanikigi kabisa tena ndo uwaga wanachekelea tuu dadeq
  3. Z

    Mpira umechezwa na timu zote kwa ari na hali ya juu sana.

    Simba hii ni ya kumchezesha boko kweli !boko ameonyesha anamapungufu mengi mno analazimisha kucheza mpira lakini mpira wenyewe unamkataa,kocha na benchi la ufundi linaudhaifu mkubwa , hakuna na umuhimu wa kumleta kocha wakati mgunda anasifa zote ,tuliacha kusaji wachezaji wazuri
  4. Z

    Baadhi ya watu naona wanamlaumu kocha mpya lakini uongozi a Simba unawajibika kwa 80%

    Mashabiki si hawaelewi football hao ndo waliozomea wakati Chama anafanyiwa Sub Tena season mbili zilizopita sajili nyingi zimefeli Inonga, Kanoute, Sakho na Phiri ndo sajili zilizolipa kwa misimu miwili then utegemee miujiza football ina njia zake na siyo siasa
  5. Z

    Football na Sayans Football ni Sayansi

    Game ilikuwa tamu sana timu zote zimeimarika kila idara kwa sisi Man Utd bado tunaruhusu magoli sana bila shaka kocha atalifanyia kazi ila Marcus Rashford na Casemiro aise🙌 wapo 🔥🔥
  6. Z

    Barcelina tulicheza vizuri lakini kocha anatakiwa kuzingatia mechi

    Pedri yuko injured for 3-4 weeks ..No Gavi still no Dembele..Serious bussiness kwa man u..Man u ashinde this tough game kule OT safari ya kuchua kombe at least itakua na matumaini
  7. Z

    Mnatukwaza snaa mashabiki kuingiza siasa kwenye mpira

    Kiukwel hapa inakera ila naamin Yanga inahitaji mashabiki uwanjan kwa faida ya club kuna mambo mengine me naona tunayafanya yanakuwa makubwa sana na tunawapa time hawa chama cha mambuzi hapa sioni kama Yanga alikuwa anaweza kulikataa hili kwa namna lilivyo kwa maon yangu lakin
  8. Z

    Liverpool Imerejea kwa ushindi

    Utendaji mzuri dhidi ya timu iliyojaa imani baada ya kuishinda Arsenal mara ya mwisho Sasa wanahitaji kubeba nguvu na kasi hii katika michezo yao michache ijayo!
  9. Z

    Man United dhidi ya Leeds United Rashford, Sancho kurejea pointi na kuwaokoa Red Devils wakiwa nyumbani

    Sancho muda wa kutosha wa kucheza Garnacho anapaswa kuja baadaye 10 Hag huwa fanya wale wanaofuatilia kwa haraka wakati wa mapumziko Ila tutapoteza kipindi cha kwanza..
  10. Z

    Garnacho amekuwa akicheza vizuri sana na kusifiwa kwa kuwa mzuri katika Umri mdogo

    Sancho apewe muda wa kutosha wa kucheza Garnacho anapaswa kuja baadaye 10 Hag huwa fanya wale wanaofuatilia kwa haraka wakati wa mapumziko Ila tutapoteza kipindi cha kwanza..
  11. Z

    City walicheza exactly Spurs walivyotaka

    City walicheza exactly Spurs walivyotaka, " Chaos Football" kila kitu walifanya kwa haraka badala ya patience na Spurs ukiwapa nafasi ya counter attacks they are good na walitengeneza counter attacks nzuri sana Pep atakuwa anapenda pace, ball striking na unpredictability ya Alvarez shida ni...
  12. Z

    Usajili wa chelsea umelenga msimu ujao

    Chelsea kafanya usajiri mkubwa na mzuri Sana nadhani anayejua mpira anajua kabisa kuwa Chelsea target Yao sio msimu huu bali wamesajiri wachezaji ili waje kusuka kikosi imara msimu ujao Tukumbuke Chelsea ni team inawaza faida haraka kuliko team yoyote EPL so wanamawazo ya kikosi kipana kwa...
  13. Z

    Ukiangalia uchezaji wa Madrid unavutia sana🔥

    Wanaomlaumu Vini jr.kuhusu lile goli eti alitaka kufunga kistar ukweli Ni kwamba pale uwezi kufunga bila kuuchopu Mpira sifa tumpe golikipa alihisi Vini atafanya Nini .
  14. Z

    Kocha wa Al Nassr Rudi Garcia alisema Cristiano Ronaldo atacheza tena Ulaya baada ya kukaa Saudi Arabia. mmh 👀

    Cristiano Ronaldo: Kocha mkuu wa Al Nassr Rudi Garcia anasema mshambuliaji 'atarejea Ulaya' baada ya kumalizika kwa mkataba wa Saudi Arabia Ronaldo alisaini mkataba wa pesa nyingi wa miaka miwili na Al Nassr kucheza katika Ligi ya Saudia; atakuwa na umri wa miaka 40 mwisho wa mkataba wake wa...
  15. Z

    Kurudi kwa Inonga na Phiri ni nafuu sana kwa Simba

    Kurudi kwa Inonga kunaimarisha zaidi nafasi yetu ya ulinzi na kulejesha Tena mwanzo wa mashambulizi Mana ndiye beki anayeanzisha mashambulizi pale tunapokuwa Nyuma na mpira. Pia Safi yetu ya Ulinzi ilipwaya hivyo kurudi kwake tunajua tutaimalika zaidi Kurudi kwa Moses hii ipo wazi kuwa...
  16. Z

    Simba wamemtangaza Imani Kajula kuwa Mtendaji Mkuu mpya wa Simba SC. (CEO)

    Yaan C. E. O hata tweeter hakuwepo kwa dunia hii?. hadi hawafahamu ma C. E. O wenzake wa ball la Africa siyo leo, hii yote inaonesha Simba kwa sasa pesa kikwazo
  17. Z

    Azam vs Tanzania Prison 3-0

    moto wao unaishiaga baada ya game kadhaa
  18. Z

    Keka la leo