kisinda ,moloko, Morrison,mikataba Yao ikiisha waachwe aise 😢😢😢 beki mrefu anahitajika , mayele,aucho,faridi ,kibwana waongeze jitihada ili wawe na ufanisi uwanjani waboreshe uwezo wa kutumia nafasi wanazo pata on time , well done diara,job,Aziz ki. Kocha ni mzuri sana ila Kuna mda anachanga...