Us Monastir walichokifanya wameamua kumuachia Yanga Mpira au cheze wao wamejisemea kuwa tunataka point 3 muhimu nyumbani

Brenda

Mgeni
Oct 31, 2022
489
403
5
Dar es salaam
Us Monastir walichokifanya wameamua kumuachia Yanga Mpira au cheze wao wamejisemea kuwa tunataka point 3 muhimu nyumbani.

Yanga anatawala vipindi vyote Ila anakufa mbili bila kilichowaumiza Yanga nikile kile kinazitesa Team za ukanda huu magoli yote Ni ya vichwa yanafungwa mazingira ambayo utaulaumu ukuta wa Yanga.

Pia Yanga wanaupungufu wa siku zote mawinga Yanga Hana watu wa pembeni hata kwa hapa Tanzania akiumia Morrison basi Yanga pembeni hawi vizuri kabisa.

But we looked sharp and confident, umaliziaji tuu ila box lao tumefika like 3 times, good chances, hizi games zinahitaji kuwa clinical sana

Kazi waliyo nayo Yanga nikama Pacha wake Simba wahakikishe Taifa wanapata point Tisa zote.
8FB0D835-DF91-4BC6-AF26-D4F5B771919A.jpeg
 

jamal

Mgeni
Nov 4, 2022
148
90
5
Yanga inahitaji winga mwenye uwezo wa kupunguza hata watu wawili, tuna tatizo sana pembeni huku mbele
 

Bangala

Mgeni
Dec 13, 2022
39
24
5
But Guys boys did their best ni vile tu wametuwahi first half kwa mkapa kokote nitakapokuwa nitafaya niwezalo kuja kuwaona wanavofia hapa
Game plan wanakuachia mpira wakupate kwenye counter,they have 2 goals lead hawahitaji kufunguka
Tungepata goli la ugenini leo ingekuwa nzuri sana
 

Lukac

Mgeni
Nov 4, 2022
120
83
5
kisinda ,moloko, Morrison,mikataba Yao ikiisha waachwe aise 😢😢😢 beki mrefu anahitajika , mayele,aucho,faridi ,kibwana waongeze jitihada ili wawe na ufanisi uwanjani waboreshe uwezo wa kutumia nafasi wanazo pata on time , well done diara,job,Aziz ki. Kocha ni mzuri sana ila Kuna mda anachanga vibaya karata zake kwenye kupanga first eleven otherwise timu Iko powa na viongozi naona wamefanya Kila kitu mana Hali ilikuwa shwari kuanzia nje ya uwanja mpka ndan ya uwanja
 

Kriss

Mgeni
Nov 4, 2022
102
138
5
I am a very big yanga fan lakini nimeona hatuna quality kwenye ushambuliaji na hii inatokana na kutokua na brave wingers ambao ukiwapa wanaoweza kutengeneza chance nying kwa strikers wetu. Hii inapelekea kuwatumia strikers kama wingers, honestly speaking leo tumeubonda mpira mkali sana kama kawaida yetu lakini tumecheza sana nyuma na kati ya uwanja sio kwenye lango la wapinzani. Sio kwa ubaya na sitaki kuwakosea wingers tulionao but kama ikiwezekana waiprove au ikishindikana tunataka quality kama ya akina Morison ( ukiachana na discipline na inconsistency aliyo nayo ) au zaidi kwenye wings zetu ambao anytime anaweza akabadilisha matokeo na kuibeba timu individually. Leo wale jamaa walituzidi jinsi ya kutumia dead balls tu hakuna kingine. naamini tutafanya vizuri nyumbani na game nyingine ugenini. VAMOS YANGA VAMOS WANANCHI, YANGA NGUVU MOJA 🔥🔥🔥
 

JohBwax

Mgeni
Nov 4, 2022
84
72
5
Aliemrudisha Kisinda katuchomesha tu hana msaada wowote,infact wingers wetu dhaifu sana hawana madhara ukimtoa miyeyusho Morrison wa mechi tatu anakosa mechi 5
 

kamakawa

Mgeni
Nov 4, 2022
60
57
5
Monastir yule striker wao wa kati ni full package kwa mfumo wa mshambuliaji moja, ana uwezo wa kupokea na kukaa na mpira. TP Mazembe na Monastir nawaona robo final
 

McRay

Mgeni
Nov 4, 2022
185
131
5
Yatizo la timu yetu ni lile lile tunakosa quality kwenye wings ma winga wanaoweza kuondoka na beki 1/2 Waka cut inside kuongeza nguvu kwenye box Ili kumrahisishia kazi 9 wetu hii shida IPO mbak kweny ligi wawinga wetu n orthodox type wanacheza Sana wide(speed/pace) pekee ndyo,