Search results

  1. B

    Kijiwe cha Mashabiki wa Manchester United (Red Devils)

    Timu ina wachezaji wanacheza kama mazombi,wao wanajiendea tu,hii timu watu Lisandro Martinez,Amad Diallo na Casemiro wanaonekana kujituma ila wengine kama mazombi tu
  2. B

    Rodri Abeba BALLON D'OR Mbele Ya Vinny Jr | Una Lipi La Kuzungumza Mwana Kijiweni?

    Vini kilichomponza ni kauli zake kuwa Spain hastahili kuwa mmoja wa waandaaji wa WC 2030 kwa sababu za tabia za kibaguzi. Sasa klabu ilitoa msimamo kuwa hayo ni maoni yake na kauli za Vini ziliwakera Wahispania wakaona dogo anataka kutuharibia ugali wetu. Nahisi watu wa Ulaya walipiga kampeni za...
  3. B

    Kijiwe cha Mashabiki wa Real Madrid (‎Los Blancos)

    Wanunue ma-fullbacks,waliopo wamechoka,wanataka wamrudishe tena Theo Hernandez kutoka AC MILAN