Ni mchezaji aliyeonekana kwa mara ya kwanza Zanzibar kwenye michuano ya mapinduzi Cup nusu fainali, na akifunga mabao ma4 peke ake na kuwatoa Azam kwenye mashiindano hayo ya kombe la Maoinduzi.
Sijajua hawa Singida Big Stars SBS wanapata wapi jeuri ya kuleta wazee waliotingisha dunia za za mawe, Lakini Nafurahi sana kuona timu zinakuwa kubwa hii ilitoka na Yanga sare na ikaja kumfunga Azam bao nne kwa moja kila kitu kinawezekana big for big Stars.
Huyu jamaa analijua goli sana, sema Nina wasiwasi Singida wakaporwa tonge mdomon ukasikia tu Huyu mchezaji kasajiliwa Simba au Yanga Au Azam. Maana Hawa Singida nao huwaga hawana Msimamo
Na tusipokua makini atasumbua sana kwemye hii ligi hyetu ni Mwamba sana