Anaitwa Kazadi Kasengu mfungaji bora wa Mapinduzi Cup

Nabi

Mgeni
Nov 4, 2022
121
124
5
Ni mchezaji aliyeonekana kwa mara ya kwanza Zanzibar kwenye michuano ya mapinduzi Cup nusu fainali, na akifunga mabao ma4 peke ake na kuwatoa Azam kwenye mashiindano hayo ya kombe la Maoinduzi.

Sijajua hawa Singida Big Stars SBS wanapata wapi jeuri ya kuleta wazee waliotingisha dunia za za mawe, Lakini Nafurahi sana kuona timu zinakuwa kubwa hii ilitoka na Yanga sare na ikaja kumfunga Azam bao nne kwa moja kila kitu kinawezekana big for big Stars.

Huyu jamaa analijua goli sana, sema Nina wasiwasi Singida wakaporwa tonge mdomon ukasikia tu Huyu mchezaji kasajiliwa Simba au Yanga Au Azam. Maana Hawa Singida nao huwaga hawana Msimamo 🙌
Na tusipokua makini atasumbua sana kwemye hii ligi hyetu ni Mwamba sana
e58c304c-00e7-42a6-a766-c5dfda5d35ad (1).jpg
 
JohBwax

Mgeni
Nov 4, 2022
84
72

View attachment 1027
Huyu atatusumbua sana
 
Kriss

Mgeni
Nov 4, 2022
102
138

Kazadi ni mtu sana wakikaa nae vizuri watashika nafasi ya 3
 
Rashidi

Mgeni
Dec 13, 2022
56
40
5
Ni mchezaji aliyeonekana kwa mara ya kwanza Zanzibar kwenye michuano ya mapinduzi Cup nusu fainali, na akifunga mabao ma4 peke ake na kuwatoa Azam kwenye mashiindano hayo ya kombe la Maoinduzi.

Sijajua hawa Singida Big Stars SBS wanapata wapi jeuri ya kuleta wazee waliotingisha dunia za za mawe, Lakini Nafurahi sana kuona timu zinakuwa kubwa hii ilitoka na Yanga sare na ikaja kumfunga Azam bao nne kwa moja kila kitu kinawezekana big for big Stars.

Huyu jamaa analijua goli sana, sema Nina wasiwasi Singida wakaporwa tonge mdomon ukasikia tu Huyu mchezaji kasajiliwa Simba au Yanga Au Azam. Maana Hawa Singida nao huwaga hawana Msimamo 🙌
Na tusipokua makini atasumbua sana kwemye hii ligi hyetu ni Mwamba sana
View attachment 1027
Kazadi ana profile kubwa sana