Mchezo utakuwa mgumu sana na hivi mtani wangu mnyama ameanza kushinda shinda mechi zake ndo kabisa ila all in all game me naona sare sijui itakuwa ya,magoli au lah!
Boli Itembee sioSawa Azam wapo naubora lakn sisi atuangalii ubora sisi nimwendo wa boli.
Kwaheli nafasi ya kuanza kushindania ya tatu.Hayawahi hayawi hatimaye yamekua na sasa ni wakati wa kujadiliana kuhusu MZIZIMA DERBY una kipi cha kuzungumza kuhusu mchezo huu? Tujadiliane hapa sasa kumbuka kuwa mchezo utapigwa katika dimba la Benjamin Mkapa
Aaah apo simba wasipojiangalia watahaibishwaHayawahi hayawi hatimaye yamekua na sasa ni wakati wa kujadiliana kuhusu MZIZIMA DERBY una kipi cha kuzungumza kuhusu mchezo huu? Tujadiliane hapa sasa kumbuka kuwa mchezo utapigwa katika dimba la Benjamin Mkapa
atakae amka vzr cku iyo ndio atakaepata ushindi....maana pipa na mfuniko hawaelewekiHayawahi hayawi hatimaye yamekua na sasa ni wakati wa kujadiliana kuhusu MZIZIMA DERBY una kipi cha kuzungumza kuhusu mchezo huu? Tujadiliane hapa sasa kumbuka kuwa mchezo utapigwa katika dimba la Benjamin Mkapa
Mech ngum sana Azam atashnda au sareHayawahi hayawi hatimaye yamekua na sasa ni wakati wa kujadiliana kuhusu MZIZIMA DERBY una kipi cha kuzungumza kuhusu mchezo huu? Tujadiliane hapa sasa kumbuka kuwa mchezo utapigwa katika dimba la Benjamin Mkapa
Kama ungebet basi tungesema ushachana na kulaza familia njaa,, Yaan umpe Simba kibogoyo mfupa kweliiiiMchezo utakuwa mgumu sana na hivi mtani wangu mnyama ameanza kushinda shinda mechi zake ndo kabisa ila all in all game me naona sare sijui itakuwa ya,magoli au lah!
Simba kushinda ipo waziHayawahi hayawi hatimaye yamekua na sasa ni wakati wa kujadiliana kuhusu MZIZIMA DERBY una kipi cha kuzungumza kuhusu mchezo huu? Tujadiliane hapa sasa kumbuka kuwa mchezo utapigwa katika dimba la Benjamin Mkapa