Azam Fc vs Simba Sc Ligi Kuu Ya NBC

Obado steven

Mpiga Chabo
May 8, 2024
1
0
0
Mchezo utakuwa mgumu sana na hivi mtani wangu mnyama ameanza kushinda shinda mechi zake ndo kabisa ila all in all game me naona sare sijui itakuwa ya,magoli au lah!
 
iddy jr

Mgeni
May 8, 2024
1
1
5
Hayawahi hayawi hatimaye yamekua na sasa ni wakati wa kujadiliana kuhusu MZIZIMA DERBY una kipi cha kuzungumza kuhusu mchezo huu? Tujadiliane hapa sasa kumbuka kuwa mchezo utapigwa katika dimba la Benjamin Mkapa
Kwaheli nafasi ya kuanza kushindania ya tatu.
 
  • Like
Reactions: Kijiweni

Mnandowa

Mgeni
May 8, 2024
1
1
5
Hayawahi hayawi hatimaye yamekua na sasa ni wakati wa kujadiliana kuhusu MZIZIMA DERBY una kipi cha kuzungumza kuhusu mchezo huu? Tujadiliane hapa sasa kumbuka kuwa mchezo utapigwa katika dimba la Benjamin Mkapa
Aaah apo simba wasipojiangalia watahaibishwa
 
  • Like
Reactions: Kijiweni

Msela wa taifa

Mpiga Chabo
May 8, 2024
2
0
0
Hayawahi hayawi hatimaye yamekua na sasa ni wakati wa kujadiliana kuhusu MZIZIMA DERBY una kipi cha kuzungumza kuhusu mchezo huu? Tujadiliane hapa sasa kumbuka kuwa mchezo utapigwa katika dimba la Benjamin Mkapa
atakae amka vzr cku iyo ndio atakaepata ushindi....maana pipa na mfuniko hawaeleweki🤣
 
Binho

Mgeni
May 2, 2024
4
1
5
Mchezo utakuwa mgumu sana na hivi mtani wangu mnyama ameanza kushinda shinda mechi zake ndo kabisa ila all in all game me naona sare sijui itakuwa ya,magoli au lah!
Kama ungebet basi tungesema ushachana na kulaza familia njaa,, Yaan umpe Simba kibogoyo mfupa kweliiii
 
Binho

Mgeni
May 2, 2024
4
1
5
Hii game ni kama kumsukuma mlevi kwenye maji au barabaran kwa sababu nafasi ya Azam kuwa wa pili ipo mokononi mwa simba