Fainali ya Kombe la Shirikisho la Benki ya CRDB sasa itachezwa katika Uwanja wa New Amaan, Zanzibar badala ya Babati mkoani Manyara.
Fainali hiyo kati ya Azam FC na Yanga SC itachezwa Juni 2 mwaka huu katika Uwanja wa New Amaan kuanzia saa 2.15 usiku.
Kwa maoni yangu hii haijakaa sawa kabisa tunawanyima haki watu wa bara kuzishudia timu zetu,kwann fainal isipigwe mkapa stadium Tanzania bara hatuna uwanja wenye uwezo wa kuchezewa fainal?