Azam vs Yanga Kupigwa Zanzibar TFF Mmezingua

Amir

Mgeni
Dec 10, 2021
736
12
5
tanzania
Fainali ya Kombe la Shirikisho la Benki ya CRDB sasa itachezwa katika Uwanja wa New Amaan, Zanzibar badala ya Babati mkoani Manyara.

Fainali hiyo kati ya Azam FC na Yanga SC itachezwa Juni 2 mwaka huu katika Uwanja wa New Amaan kuanzia saa 2.15 usiku.

Kwa maoni yangu hii haijakaa sawa kabisa tunawanyima haki watu wa bara kuzishudia timu zetu,kwann fainal isipigwe mkapa stadium 🏟️ Tanzania bara hatuna uwanja wenye uwezo wa kuchezewa fainal?
 

Imma MK

Mgeni
May 2, 2024
16
5
5
Mimi naona tu wamezingua kwanini wa hamishe, michezo mingine ilipigwa apo sijui wameona nini TFF bana hawanaga misimamo mi sijapenda 🥲
 
  • Like
Reactions: Kijiweni

Abdulrahim

Mgeni
May 11, 2024
4
4
5
Kama sikosei hii ni mara ya kwanza Kwa fainali ya shirikisho kupigwa Zanzibar isitoshe fainali zilizopita tumezishuhudia zikipigwa bara... Sioni kama kuna ubaya katika hilo
 
  • Like
Reactions: Kijiweni

Mkuda konki

Mgeni
May 2, 2024
3
2
5
Mimi naona tu wamezingua kwanini wa hamishe, michezo mingine ilipigwa apo sijui wameona nini TFF bana hawanaga misimamo mi sijapenda 🥲
Hivi unajua hali ya huo uwanja ambao wameughairisha fainali kuchezwa hapo au unasema tuu hapo wameangalia maslahi ya mrusha matangazo ambaye ni Azam TV kupata nafasi ya kutosha kufunga vitendea kazi , wameangalia ukubwa wa timu zinazo kutana wamegundua kuwa usalama utakuwa mdogo cause Mashabiki watakuwa wengi kuliko hitaji la uwanja, uwanja unaruhusu mashabiki elf3 wakat yanga hta ikisema icheze na timu ya mtaani friend match pale chamazi wanaingia zaidi ya hao elf3
 
May 22, 2024
3
2
5
Mimi sijafurahishwa kabisa kwasababu watu wa manyara wamejipanga kuna watu manyara waliona fursa imekuja nyumbani alaf sababu yakufanya hii michuano mechi za nusu na fainali kuzuepeleka mikoani niili kuongeza chachu katika hiyo mikoa isiyokua na timu ligii zipambane ili wawe na timuligi kuu
 

kevoo26

Mpiga Chabo
May 22, 2024
2
0
0
Mm naona TFF hawajakosea coz wameangalia uwanja na kuona upo sawa na pia hata mashabiki wanaweza kupata nafasi kuliko huo wa manyara