AZIZ KI vs FEITOTO Nani Tunampa Kiatu Cha Ufungaji Bora Hapa Kijiweni?

Kijiweni

Administrator
Staff member
Nov 7, 2022
273
389
25
Balaa lililobakia sasa hivi kwenye Ligi Kuu ni vita ya Ufungaji Bora achilia mbali Ile ya nafasi ya 2

Hapa Aziz Ki Kutoka YANGA akiwa na mabao 17 huku FEITOTO Kutoka AZAM Fc akiwa na Magoli 16

Nani Anaenda kuchukua Kiatu?
 

Kyoma

Mgeni
May 10, 2024
13
6
5
Haiishi mpaka iishe he he Aziz siyo mtu mzuri kabisaa mwanangu admin na hapo kakosa mengi he he
 
May 22, 2024
6
2
5
Balaa lililobakia sasa hivi kwenye Ligi Kuu ni vita ya Ufungaji Bora achilia mbali Ile ya nafasi ya 2

Hapa Aziz Ki Kutoka YANGA akiwa na mabao 17 huku FEITOTO Kutoka AZAM Fc akiwa na Magoli 16

Nani Anaenda kuchukua Kiatu?
Nakuona Ki azizi akichukua kwa sababu saiv timu inamupambania yeye tu lakin Kwa wenzetu wanapambania nafasi ya pili pia
 
  • Like
Reactions: richard kaswalala

covid_17

Mgeni
May 22, 2024
1
2
5
Aziz K kapambana sana. Kwanza kacheza dakika chache sana msimu huu. Na amehusika sana kwenye magoli ambayo yalikuwa yakiamua mechi. Ukiangalia mentality ya Aziz ni mtu anaitanguliza timu kwanza kuliko mafanikio yake binafsi. Kiufupi ni kama misimu miwili aliyokaa bongo imetosha kabisa kumfundisha kile mashabiki wa kibongo wanachokitaka.
So kwangu mm Aziz ni zaidi ya mfungaji pale Yanga,ko tumpe tu maua yake