Nakuona Ki azizi akichukua kwa sababu saiv timu inamupambania yeye tu lakin Kwa wenzetu wanapambania nafasi ya pili piaBalaa lililobakia sasa hivi kwenye Ligi Kuu ni vita ya Ufungaji Bora achilia mbali Ile ya nafasi ya 2
Hapa Aziz Ki Kutoka YANGA akiwa na mabao 17 huku FEITOTO Kutoka AZAM Fc akiwa na Magoli 16
Nani Anaenda kuchukua Kiatu?