Baada Ya Taarifa Ya Hukumu Na Yale Ambayo Yanaendelea Wana YANGA Msimamo Wenu Ukoje?

GmakerTz

Mpiga Chabo
Jul 17, 2024
1
0
0
Injinia Hersi alianza kuiongoza Yanga kama Rais miaka miwili iliyopita baada ya kushinda nafasi hiyo akiwa ni Mgombea pekee July 2022 na kumfanya kuwa Rais wa kwanza wa Yanga SC toka kuanza kwa mfumo mpya wa mabadiliko ambapo alitangazwa kuwa atakuwa madarakani kwa miaka minne ( hadi 2026 ) kwa mujibu wa Katiba ya Club

Tusome vizuri hii ya mwisho inasema kuwa alichaguliwa kikatiba sasa katiba hili nyingine unaitumia hapo??
 
yonathan

Mgeni
Jun 23, 2024
10
3
5
Ili kudhibiti migogoro ya baadae ni lazima tuanze sasaivi tusimsubiri yajekuwa makubwa ndiyo tuongee Hawa wazee wako sahihi angalieni mbali acheni kunanganywa na pipi ya sasa jamani kaeni fikilieni na siyo kusema na kuchangua mambo yatakayoleta matokeo mabovu hapo baadae tulizeni mafuvu hayo eleweni Nini lengo la Hawa wazee
 
Okuli1234

Mpiga Chabo
Jul 17, 2024
1
0
0
Hawa wazee wakae pembeni wakae kwa kutulia kabisaaaa... Waliongoza yanga kipind hicho yanga ikawa omba omba hakuna mwelekeo timu ikawa hohehahe kama kaptula la jalalani. Hivi wakiachiwa uongozi hao wazee wanaweza sajili wachezaji? Hivi wanaeeza fanya competition ya team branding kama anavyofanya hersi?, wanaweza shawushi wachezaji kuja kucheza yanga? Au watakuwa ni watu wa kila tukio wanataka press za kulaani kama walivyokuwa wanafanya hapo awali.
Timu inahitaji mafanikio, na mafanikio yameletwa na Eng. Hersi na wenzake waliopo.
Wasubiri muda wake uishe nao waje wagombee kama wataweza pata uongozi.
Hatupo tayar kuona Eng. Hersi na wenzake wanatoka YSC. Labda wazee hao wawili wawe wa kwanza kutoka.
 
Prince knowles

Mpiga Chabo
Jul 17, 2024
1
0
0
Izi ndo athali za ugoro yan mda wote walikua wap afu mbna ghafla hiv khaa hii ndo bongo tulivokua tunaanxa walikaa kimy xaxa tunaelekea nchi ya ahad wanaitaji kkutuludisha misri
 
mwakalinga@official

Mpiga Chabo
Jun 30, 2024
2
0
0
Ndo maana nilikwa najiuliza why Idd Amini kipnd cha uongozi wake alikwa anaua wazee ila now nimmeprove sababu..kwa kuna wazeee wanaendekeza uzamani sana 💚💚inshort sisi hatutaki kiongozi mwingine zaidi ya Enginer na GSM Tuuu...vamos and Vivaa jangwanii
 
Mr five

Mgeni
Jun 22, 2024
6
1
5
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Jijini Dar es salaam, imeamuru Uongozi wa Club ya Yanga ukiongozwa na Rais wa Yanga Injinia Hersi Saidi na wenzake, kuachia ngazi na kuondoka kwenye Club hiyo kwakuwa Katiba ya Yanga haitambui uwepo wao.

Imedaiwa kuwa uamuzi huu wa Mahakama umekuja baada ya Kundi la Wazee wachache waliowahi kuwa Wazee wa Yanga kipindi cha nyuma, kushitaki Mahakamani likidai uwepo wa Viongozi wa sasa wa Yanga (Injinia Hersi na wenzake) ni batili na haujafuata Katiba ya Club hiyo.

Kutokana na Wazee hao kushinda kesi hiyo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, inamaana kuwa Rais wa Yanga Injinia Hersi na Viongozi wenzake wanatakiwa kuachia ngazi na kukabidhi Ofisi kuanzia sasa.

Injinia Hersi alianza kuiongoza Yanga kama Rais miaka miwili iliyopita baada ya kushinda nafasi hiyo akiwa ni Mgombea pekee July 2022 na kumfanya kuwa Rais wa kwanza wa Yanga SC toka kuanza kwa mfumo mpya wa mabadiliko ambapo alitangazwa kuwa atakuwa madarakani kwa miaka minne ( hadi 2026 ) kwa mujibu wa Katiba ya Club hiyo.
Watajua hawajui
 
mhina2

Injinia Hersi alianza kuiongoza Yanga kama Rais miaka miwili iliyopita baada ya kushinda nafasi hiyo akiwa ni Mgombea pekee July 2022 na kumfanya kuwa Rais wa kwanza wa Yanga SC toka kuanza kwa mfumo mpya wa mabadiliko ambapo alitangazwa kuwa atakuwa madarakani kwa miaka minne ( hadi 2026 ) kwa mujibu wa Katiba
Watuondolee nuksi kwenye timu yetu Toka wakati huo walikua wapi hawakumuona Harsi? Wazee wanga sana hao wapeleke wangawao soko la kariakoo hatutaki na Rais wetu roho mbaya na figisu zimewajaa HAWANA lolote hao wazee wapeleke uchawi wao huko.
 
Rweyemamu

Mgeni
Jun 9, 2024
15
4
5
Kesi hii ilifunguliwa kushitaki wadhamini wa Yanga wa uongozi uliopita wa Mshindo Msola,kesi hii sio ya mwaka huu, hukumu ilitolewa mwaka jana lakini kaitoa jana,Kitu kikubwa ni elimu tu kwa awa wazee, maana nimemsikiliza moja wa wazee awa anakubali kuwa Engineer ni Rais wa Yanga na yeye ajamshitaki yeye bali haitambui katiba,sasa hadi hapo unaelewa hajui maana huwezi ukautambua uongozi angali ya kuwa katiba iliyowaweka hajitambui.
 
Idrisa khasim

Mpiga Chabo
Jul 17, 2024
4
0
0
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Jijini Dar es salaam, imeamuru Uongozi wa Club ya Yanga ukiongozwa na Rais wa Yanga Injinia Hersi Saidi na wenzake, kuachia ngazi na kuondoka kwenye Club hiyo kwakuwa Katiba ya Yanga haitambui uwepo wao.

Imedaiwa kuwa uamuzi huu wa Mahakama umekuja baada ya Kundi la Wazee wachache waliowahi kuwa Wazee wa Yanga kipindi cha nyuma, kushitaki Mahakamani likidai uwepo wa Viongozi wa sasa wa Yanga (Injinia Hersi na wenzake) ni batili na haujafuata Katiba ya Club hiyo.

Kutokana na Wazee hao kushinda kesi hiyo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, inamaana kuwa Rais wa Yanga Injinia Hersi na Viongozi wenzake wanatakiwa kuachia ngazi na kukabidhi Ofisi kuanzia sasa.

Injinia Hersi alianza kuiongoza Yanga kama Rais miaka miwili iliyopita baada ya kushinda nafasi hiyo akiwa ni Mgombea pekee July 2022 na kumfanya kuwa Rais wa kwanza wa Yanga SC toka kuanza kwa mfumo mpya wa mabadiliko ambapo alitangazwa kuwa atakuwa madarakani kwa miaka minne ( hadi 2026 ) kwa mujibu wa Katiba ya Club hiyo.
Hao wazee wachawi wakubwa bora wapotezwa kwenye ligi ya bongo kwa ujumla,wanaharibu soka letu bongo