Ukweli hawezi kuwa na nafasi kubwa kwa uchezaji wa yanga labda kama ataingia kwenye mfumo wao kitu ambacho ni kigumu.
Yanga wanamchukua kwa ajili ya kuuza jezi tu.Wako kimkakati sana.Huyu hata akibaki Simba hawezi kuwa na utofauti sana na tulivyo muona msimu huu ulioisha.
Yanga wanapata sifa kupitia mgongo wa Simba kwani kila ikitajwa Simba wao ndio wanasikika Afrika.Ndio maana waliwekeza sana kwenye kuhakikisha wanaifunga Simba kwa idadi kubwa ya magoli,na wakifanya chochote lazima Simba itajwe ila kwa udhaifu.
Hii ni mikakati kwani yanga walijisikia vibaya kuambiwa wao ni timu nzuri ila ni second club kwa Simba.
Sasa vita yao wanataka wawe club namba moja ndani na nje.
Kutokana na udhaifu wa uongozi wa Simba,hili wanafanikiwa kwa kasi sana huku wakisaidiwa na viongozi wa hovyo wa Simba kama yule mzee pandikizi na maswahiba wenzake akina rage na kaduguda wanaoitamani Simba kwa faida za matumbo yao
UongoUkweli hawezi kuwa na nafasi kubwa kwa uchezaji wa yanga labda kama ataingia kwenye mfumo wao kitu ambacho ni kigumu.
Yanga wanamchukua kwa ajili ya kuuza jezi tu.Wako kimkakati sana.Huyu hata akibaki Simba hawezi kuwa na utofauti sana na tulivyo muona msimu huu ulioisha.
Yanga wanapata sifa kupitia mgongo wa Simba kwani kila ikitajwa Simba wao ndio wanasikika Afrika.Ndio maana waliwekeza sana kwenye kuhakikisha wanaifunga Simba kwa idadi kubwa ya magoli,na wakifanya chochote lazima Simba itajwe ila kwa udhaifu.
Hii ni mikakati kwani yanga walijisikia vibaya kuambiwa wao ni timu nzuri ila ni second club kwa Simba.
Sasa vita yao wanataka wawe club namba moja ndani na nje.
Kutokana na udhaifu wa uongozi wa Simba,hili wanafanikiwa kwa kasi sana huku wakisaidiwa na viongozi wa hovyo wa Simba kama yule mzee pandikizi na maswahiba wenzake akina rage na kaduguda wanaoitamani Simba kwa faida za matumbo yao
Dah kama kikosi kitaendelea kuwa hivi yanga ataua mtuMe naona chama bora abaki tu simba huku anako taka kwenda anapoeteq
Anaweza akawaweka bench!!Jezi watauza lakini uwanjani hawezi kumuweka ki au pacome nje
Ukweli hawezi kuwa na nafasi kubwa kwa uchezaji wa yanga labda kama ataingia kwenye mfumo wao kitu ambacho ni kigumu.
Yanga wanamchukua kwa ajili ya kuuza jezi tu.Wako kimkakati sana.Huyu hata akibaki Simba hawezi kuwa na utofauti sana na tulivyo muona msimu huu ulioisha.
Yanga wanapata sifa kupitia mgongo wa Simba kwani kila ikitajwa Simba wao ndio wanasikika Afrika.Ndio maana waliwekeza sana kwenye kuhakikisha wanaifunga Simba kwa idadi kubwa ya magoli,na wakifanya chochote lazima Simba itajwe ila kwa udhaifu.
Hii ni mikakati kwani yanga walijisikia vibaya kuambiwa wao ni timu nzuri ila ni second club kwa Simba.
Sasa vita yao wanataka wawe club namba moja ndani na nje.
Kutokana na udhaifu wa uongozi wa Simba,hili wanafanikiwa kwa kasi sana huku wakisaidiwa na viongozi wa hovyo wa Simba kama yule mzee pandikizi na maswahiba wenzake akina rage na kaduguda wanaoitamani Simba kwa faida za matumbo ya