Chama Anasajiliwa Yanga Kwa Ajili Ya Kuuza Jezi Na Kuongeza Tu Umaarufu Wa Brand Ya Yanga

Yahayasaidi

Mpiga Chabo
Jun 25, 2024
1
0
0
Ukweli hawezi kuwa na nafasi kubwa kwa uchezaji wa yanga labda kama ataingia kwenye mfumo wao kitu ambacho ni kigumu.

Yanga wanamchukua kwa ajili ya kuuza jezi tu.Wako kimkakati sana.Huyu hata akibaki Simba hawezi kuwa na utofauti sana na tulivyo muona msimu huu ulioisha.

Yanga wanapata sifa kupitia mgongo wa Simba kwani kila ikitajwa Simba wao ndio wanasikika Afrika.Ndio maana waliwekeza sana kwenye kuhakikisha wanaifunga Simba kwa idadi kubwa ya magoli,na wakifanya chochote lazima Simba itajwe ila kwa udhaifu.

Hii ni mikakati kwani yanga walijisikia vibaya kuambiwa wao ni timu nzuri ila ni second club kwa Simba.

Sasa vita yao wanataka wawe club namba moja ndani na nje.

Kutokana na udhaifu wa uongozi wa Simba,hili wanafanikiwa kwa kasi sana huku wakisaidiwa na viongozi wa hovyo wa Simba kama yule mzee pandikizi na maswahiba wenzake akina rage na kaduguda wanaoitamani Simba kwa faida za matumbo yao
 
octavian

Mpiga Chabo
Jun 28, 2024
2

Uongo
 
Jun 29, 2024
4
1
5

Kutokana na udhaifu wa uongozi wa Simba,hili wanafanikiwa kwa kasi sana huku wakisaidiwa na viongozi wa hovyo wa Simba kama yule mzee pandikizi na maswahiba wenzake akina rage na kaduguda wanaoitamani Simba kwa faida za matumbo ya
 
MFARANSA OG

Mpiga Chabo
Jun 29, 2024
1
0
0
Chama ni Bora wa muda wote ko tukimuachia tu aende up and wa pili tumeumia jaman tusijipe moyo kwamba ni wakawaida ah