đđŽđŋđŽđđŽ đšđŽ đ¯đđŋđ˛ :
Hakuna mkataba ambao hauvunjiki
(FIFA) walitambua kwa LOOP-HOLE hiyo wachezaji wengi wataitumia vibaya kuziacha timu zao kiholela wanapopata ofa kubwa zaidi kutoka kwa timu zingine hivyo kufanya baadhi ya vilabu vyenye uchumi wa chini kuathirika. Wakaweka kanuni za kufuata.
(FIFA) waliweka vipengele vya kufuata pale ambapo mchezaji anataka kuvunja mkataba wake na timu aliyoingia nayo mkataba huo.
Mchezaji akiwa hajalipwa mshahara kwa miezi mitatu (3) mfululizo anaruhusiwa kuvunja mkataba na kuondoka.
Mchezaji asipocheza kikosini kwa chini ya asilimia 10% kwa msimu mmoja anaweza kuvunja mkataba na kuondoka.
Yanapotokea machafuko | vita mchezaji anaruhusiwa kuvunja mkataba na kuondoka.
Mchezaji anaweza kuvunja mkataba kwa kulipa thamani ya Release Cluse yake ambayo ipo kwenye mkataba (Kuununua mkataba) lakini kwa masharti yafuatayo :
â Hatakiwi THIRD PARTY, hairuhusiwi mtu wa tatu (Timu) kuwa nyuma ya mchezaji kushawishi avunje mkataba.
â Pande zote mbili zikubaliane. Sio kuweka mzigo (Pesa) tu na kusepa.
â Mkataba hauvunjiki katikati ya msimu mchezaji akiwa hana sababu za msingi hata kama kalipa pesa kuununua mkataba wake.
Vipengele vyote hivyo havikufuatwa kwenye sakata la Feisal, ilitumika busara.
Kitendo kile kiliwafanya wachezaji wengi Tanzania waamini kumbe unaweza kuvunja mkataba wakati wowote tu na isiwe issue.
Wanafunzi bora wa somo hilo ni :
â Awesu Asesu.
â Prince Dube.
â Valentino Mashaka.
â Kibu Denis.
Kibu Denis anaamini anaweza kuuvunja mkataba wa Simba Sports Club wakati wowote ndio maana hana hofu.
Busara iendelee kutumika.
Mnayo ruhusa ya kunisahihisha kabisaaaaa niko tayari