Eti Wana Kijiweni Kwanini Ni Simba vs Yanga Na Sio Yanga vs Simba

Hammy36

Administrator
Jan 17, 2023
61
60
25
Dar Es Salaam
Nimechunguza na kutambua kuwa watu wengi linapokuja suala la mechi ya watani wa jadi basi wengi wataanza kuitaja Simba kisha Yanga.

Yaani leo ni mechi ya Simba na Yanga. Yaani lazima Simba aanze kisha Yanga atafuata.

Hili lipoje huko kwenu na ni nini sababu ya hili kutokea.
 
Kasogabenedict

Mpiga Chabo
Sep 11, 2024
1
0

mwenye nchi lazima aanze kutajwaa
 
Galath

Mgeni
Sep 9, 2024
10
1
5
Mbeya
Hii ni kutokana na Kumalizia uzuri sababu mala nyingi tunaanza simba sababu vitu vya kuponda ni vingi kisha tunamalizia yanga Kwa kuonesha suluhisho la mapondo hayo jambo jingine tunaangalia alphabet Kati ya S na Y ipi inaanza
 
mauson

Mpiga Chabo
Sep 11, 2024
1
0
0
Siku zot anaanza bab kisha mama Yan at ukimpa mtoto wa mtu mimba anaulizwa mimba ni ya nani wakati yeye ndiyo kabeba
 
the director

Mgeni
Jun 5, 2024
140
25
5
Sababu kubwa inayopelekea kuwa hivyo ni muonekano wa mpangilio wa herufi.. ukianzia A-Z utangundua hili.. na ndio maana msimu mpya wa ligi kuu unapoanza utaikuta Yanga ipo chini kwenye msimamo.. wote wakiwa na alama 0 kwa 0..
Kwhy swala hili lisikuumize kichwa sana..🗣️ yapo mengi ya kuelezea ila kwa leo wacha niwaachie na wengine waelezee.🙏
 
Shaybatoul_Hamdi

Mpiga Chabo
Sep 11, 2024
3
1
0
Hii inasemwa au kutamkwa hvyo kutokana na kufuata mtiririko wa herufi za mwanzo za timu zinavyoanza na ndio maana hata akicheza na Azam,utasikia leo mechi kati ya Azam na Simba. Asante
 
charz Jr😎

Mgeni
Jul 8, 2024
9
1
5
Nimechunguza na kutambua kuwa watu wengi linapokuja suala la mechi ya watani wa jadi basi wengi wataanza kuitaja Simba kisha Yanga.

Yaani leo ni mechi ya Simba na Yanga. Yaani lazima Simba aanze kisha Yanga atafuata.

Hili lipoje huko kwenu na ni nini sababu ya hili kutokea.
Ukiachilia mbali influence ya simba...but sababu kubwa huwa ni urahisi pia ladha ya kutamka ani inakuwa inanoga kuanza kutamka simba then uje yanga...ila syo kwamba inayo mantiki saaaaanaaaaah!! But me naona ni ile urahis pia na kuvutia kwakee😎
 
the director

Mgeni
Jun 5, 2024
140
25
5
Sababu kubwa inayopelekea kuwa hivyo ni muonekano wa mpangilio wa herufi.. ukianzia A-Z utangundua hili.. na ndio maana msimu mpya wa ligi kuu unapoanza utaikuta Yanga ipo chini kwenye msimamo.. wote wakiwa na alama 0 kwa 0..
Kwhy swala hili lisikuumize kichwa sana..🗣️ yapo mengi ya kuelezea ila kwa leo wacha niwaachie na wengine waelezee.🙏
Watanzania wanapenda kumegewa sana.. na ndio maana mabanda mengi ya mpira ikiwa kuna mechi,, kwenye mabango yao unakuta timu ya nyumbani imewekwa upande wa ugenini na timu ya ugenini imewekwa upande wa nyumbani.. kwhy usione ajabu kwenye hili..
Nimesema ninayo mengi ila wacha niishie hapa🙏
 
bamdogo

Mgeni
Jun 22, 2024
12
3
5
Simba niteam kubwa af uksema yanga na simba kama haisaund hivi binafsi napenda kutamka simba vs yanga hata kama yanga nmwenyeji aseeh😂😂😂