Admin natamani atokee mchambuzi mmoja amwambie Feisal ukweli kwamba akiendelea kucheza mpira kutaka kuikomoa yanga atachelewa sana, naona umempost lkn hakuna kitu alichofanya, alikuwa anacheza kama yuko peke yake uwanjan, anacheza kama mtu anayetaka kuwaonyesha wachezaji na mashabiki wa Yanga kwamba yeye ni bora,Ubora wake tunaujua ivyo aache uswahili acheze kutengeneza career yake,Nyie wenye platform tusaidiane kumwambia ukweli acheni kumpa sifa za kijinga.Naamin hata baada ya mechi Nzengeli alikuwa anaongea nae jambo ilo ilo.