FT: Azam 1 Yanga 4 Umeionaje FAINALI Ya NGAO YA JAMII 2024

Kijiweni

Administrator
Staff member
Nov 7, 2022
281
396
25
Mchezo wa FAINALI ya Ngao Ya Jamii 2024 Umemalizika Kwa WANANCHI kuondoka na Ushindi na kuwa Mabingwa Wa NGAO ya JAMII Kwa Mwaka 2024 Baada ya kuifunga Azam Fc bao 4 Kwa 1

Umeionaje FAINALI ya NGAO YA JAMII 2024?
 
  • Like
Reactions: Peterdaud and ymk

Kadzo_lass

Mgeni
Jul 1, 2024
8
3
5
Mecho ilikiwa na hadhi ya fainali Yanga deserved the win Yanga Bingwa Ngao ya Jamii 2024 chama langu never cease to amaze us kama fans makombe yaendelee🔰🔰🔰
 

Peterdaud

Mpiga Chabo
Aug 8, 2024
3
0
0
Mchezo wa FAINALI ya Ngao Ya Jamii 2024 Umemalizika Kwa WANANCHI kuondoka na Ushindi na kuwa Mabingwa Wa NGAO ya JAMII Kwa Mwaka 2024 Baada ya kuifunga Azam Fc bao 4 Kwa 1

Umeionaje FAINALI ya NGAO YA JAMII 2024?
Vizur kabisaaa match ilikuwa tafu
Nzuri na yenye mvuto wa aina yakee
 

Rweyemamu

Mgeni
Jun 9, 2024
15
4
5
Admin natamani atokee mchambuzi mmoja amwambie Feisal ukweli kwamba akiendelea kucheza mpira kutaka kuikomoa yanga atachelewa sana, naona umempost lkn hakuna kitu alichofanya, alikuwa anacheza kama yuko peke yake uwanjan, anacheza kama mtu anayetaka kuwaonyesha wachezaji na mashabiki wa Yanga kwamba yeye ni bora,Ubora wake tunaujua ivyo aache uswahili acheze kutengeneza career yake,Nyie wenye platform tusaidiane kumwambia ukweli acheni kumpa sifa za kijinga.Naamin hata baada ya mechi Nzengeli alikuwa anaongea nae jambo ilo ilo.
 
  • Like
Reactions: Saleh Komba