FT : Azam FC 0 Simba SC 2 : Umeuonaje Mchezo Wa Leo? Una Lipi La Kuzungumza Mwana Kijiweni?

Kijiweni

Administrator
Staff member
Nov 7, 2022
489
643
125
Mchezo wa Ligi Kuu Ya NBC kati ya Azam Dhidi ya Simba umemalizika Kwa Wekundu Wa Msimbazi kuondoka na Ushindi wa mabao 2 Kwa 0 yakifungwa na Leonel Ateba pamoja na Ngoma

Umeuonaje mchezo wa Leo? Una Lipi la Kuzungumza?
 

Jr 097

Mgeni
Jun 21, 2024
11
4
5
Mchezo wa Ligi Kuu Ya NBC kati ya Azam Dhidi ya Simba umemalizika Kwa Wekundu Wa Msimbazi kuondoka na Ushindi wa mabao 2 Kwa 0 yakifungwa na Leonel Ateba pamoja na Ngoma

Umeuonaje mchezo wa Leo? Una Lipi la Kuzungumza?
Azam alichagua mwandiko mzuri kulko majibu sahihi

Simba alichagua majibu sahihi kulko mwandiko mzuri
 
  • Like
Reactions: Wistabby

mikidad

Mpiga Chabo
Sep 26, 2024
1
0
0
Azam wako frex Kwa Sasa
Apana sio kwamba Azam FC walikua frex kiivyo but
mbinu za coach Fadlu David zimewapa matokeo mazur Simba sport club
Pia
Kwa Azam FC mbinu za mwl.zimewanyima matokeo because
Wachezaj wa Azam FC wameonekana kabisa walikua waki strangle kutengeneza paten ya ushambuliaj but tulimwona
Feisal akikosa wakucheza nae
J sillah.
I.nado n k
But for me
Geme we play bay coache's
 

Eddy de Jr

Mgeni
May 9, 2024
91
16
5
Huyu Christiano Lionel Ateba hakai SSC muda mrefu,,,tutakuja kumwona kwenye ligi kubwa duniani I.e EPL, LaLIA, BUNDESLIGA, SERIE A, LEAGUE 1 and the like,,,kama wataweka focus na vision, consistency, tolerance.
 

Liberatha

Mpiga Chabo
Sep 27, 2024
1
0
0
Simba imerudi katika ubora wake wa miaka 4 iliyopita….. all the best mnyama. Yaani ni mwendo wa ubaya ubwege tuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»
 

tototo09

Mpiga Chabo
Sep 27, 2024
1
0
0
Game ilikuwa nzuri, lile biriyani la Simba nimeliona kuanzia robo ya mwisho ya kipindi Cha pili, triangular stretching relaxed passes, wachezaji wametulia, japo kulikuwa na ishara za kipato kutaka kuleta ujivuni, ila Simba walikuwa better zaidi ya azam. Though huyu mukwala Kwa mbaaali nkimtazama namuona ana ufreddy kouablan hivi Yani ajitathmini sana.

Kuhusu azam, changamoto ipo forward line Yao, Sina Imani na nassor saadun ambaye baadhi ya wengi walikuwa wakimtazama kama anaweza ingia kambani mara mbili Jana, Bado anahitaji game time ya kutosha na ajifue zaidi, pia Kwa Ile Left back ya azam(pascal msindo) what a perfect performance Kwa dogoπŸ”₯ licha ya umri ila ana kitu ndani yake, upande wa kuunda mashambulizi azam walifinywa sana, na hii ilichagizwa na pressing za hapo Kwa hapo za Simba tunaona Kuna nyakati Simba wakipoteza tu fasta pressing inaanzia hukohuko juu,hii ikawanyima uhuru azam FC na kuforce mpira kukimbiziwa fullbacks zilizokuwa na uwezo mkubwa wa kupanda kusapoti na kushuka kuzuia, niliona mzigo mkubwa mabegani mwao, hata Kuna kipindi midfield ikawa inachechema kutokana na Simba kukichafua sana pale, ila big up Kwa majaribio kadhaa ya azam licha ya kutofua dafu.

Game ilikuwa poa sana kiukweli pongezi Kwa wachezaji wote.
Pongezi Kwa makocha, Jana ni ilikuwa mwenye mbinu imara ndo mshindi, ni meeting ya kwanza ya kocha taoussi na fadlu, hivyo wanakitu Cha kujihoji kuelekea game zao, ila all in all "Ubaya u.b.w.e.l.a"🀟πŸ”₯