Tatizo kubwa wanaingia na ushindi. Timu zote zinamwogopa .. kwahiyo wanacheza kupata ushindi wao na sio kucheza mpira mzuri.Yanga wanacheza, wanashinda ila mpira wao ni mgumu sana kama juventus miaka ile, kama atletico madrid namna vyenye wanacheza, hawavutii kuwatazama ila wanapata matokeo tofauti na msimu uliopita unafungwa na mpira unapigia
Tunawez sema mara nyingi ushindi wanaaopata so kwa muunganiko wa timu ila ni uwezo wa mchezaji mmoja mmoja kwa lugha nyepesi ni kwamba gamond kikosi kimemshinda maan ile team ina mastaa wengi ko kila mtu anataka aoneshe uwezo wake so wacheze kwa team spiritTatizo kubwa wanaingia na ushindi. Timu zote zinamwogopa .. kwahiyo wanacheza kupata ushindi wao na sio kucheza mpira mzuri.
Ulikuwa mchezo mzuriiii sanaaaa japo bahat haikuwa kwa coastal unionMchezo wa Ligi Kuu ya NBC kati ya Coastal Union Dhidi Ya Yanga umemalizika kwa Wananchi kuondoka na ushindi wa bao 1 Kwa 0 lililofungwa na Jean Othos Baleke
Umeuonaje Mchezo Wa Leo Mwananchi Wa KIJIWENI?

Yanga ndio inapambana . Mnoh kuliko coastal union napnd mpira wao sanaUlikuwa mchezo mzuriiii sanaaaa japo bahat haikuwa kwa coastal union
Mzur na umekaa pwr jap tim zot mbil zimejitahdMchezo wa Ligi Kuu ya NBC kati ya Coastal Union Dhidi Ya Yanga umemalizika kwa Wananchi kuondoka na ushindi wa bao 1 Kwa 0 lililofungwa na Jean Othos Baleke
Umeuonaje Mchezo Wa Leo Mwananchi Wa KIJIWENI?
Mchezo wa Ligi Kuu ya NBC kati ya Coastal Union Dhidi Ya Yanga umemalizika kwa Wananchi kuondoka na ushindi wa bao 1 Kwa 0 lililofungwa na Jean Othos Baleke
Umeuonaje Mchezo Wa Leo Mwananchi Wa KIJIWENI?