Kesho uchezeshe weweLa kuongeaa mkuuu ni kama penariti haikuwa sahihi la cvyo mechi ingeisha sare
Mareferee wa bongoo bado sanaaaa hapakuwa na penalty yyt pale ila simba wametafutiwa goli tuMchezo wa Ligi Kuu ya NBC kati ya Dodoma Jiji Dhidi ya Simba umemalizika Kwa Wekundu Wa Msimbazi kuondoka na Ushindi wa bao 1 Kwa sifuri
Bao ambalo limefungwa na Jean Ahoua Kwa Penati
Una Lipi la Kuzungumza Mwana Kijiweni?
Hongera kwao SimbaMchezo wa Ligi Kuu ya NBC kati ya Dodoma Jiji Dhidi ya Simba umemalizika Kwa Wekundu Wa Msimbazi kuondoka na Ushindi wa bao 1 Kwa sifuri
Bao ambalo limefungwa na Jean Ahoua Kwa Penati
Una Lipi la Kuzungumza Mwana Kijiweni?
kawalete wazazi wako wachezeKwa Leo cjafurahishwa na mechi, wanasimba wazembeeee