FT : Dodoma Jiji FC 0 Simba SC 1 | Umeyapokeaje Matokeo Haya Mwana Kijiweni?

Kijiweni

Administrator
Staff member
Nov 7, 2022
344
473
25
Mchezo wa Ligi Kuu ya NBC kati ya Dodoma Jiji Dhidi ya Simba umemalizika Kwa Wekundu Wa Msimbazi kuondoka na Ushindi wa bao 1 Kwa sifuri

Bao ambalo limefungwa na Jean Ahoua Kwa Penati

Una Lipi la Kuzungumza Mwana Kijiweni?
 
  • Like
Reactions: Hingibs

jordan@anderson

Mpiga Chabo
Sep 29, 2024
1
0
0
Mchezo wa Ligi Kuu ya NBC kati ya Dodoma Jiji Dhidi ya Simba umemalizika Kwa Wekundu Wa Msimbazi kuondoka na Ushindi wa bao 1 Kwa sifuri

Bao ambalo limefungwa na Jean Ahoua Kwa Penati

Una Lipi la Kuzungumza Mwana Kijiweni?
Mareferee wa bongoo bado sanaaaa hapakuwa na penalty yyt pale ila simba wametafutiwa goli tu
 
JayTz

Mgeni
Sep 29, 2024
1
1
5
Mechi ilikuw nzuri..lakn pongez kwa simba wamefanya nini walipaswa wafanye kwa kupata ushind kupitia penati ambayo ilikuw sahihi..shukran
 
  • Like
Reactions: Alex Msodoki

Hingibs

Mpiga Chabo
Sep 12, 2024
1
0
0
Mchezo wa Ligi Kuu ya NBC kati ya Dodoma Jiji Dhidi ya Simba umemalizika Kwa Wekundu Wa Msimbazi kuondoka na Ushindi wa bao 1 Kwa sifuri

Bao ambalo limefungwa na Jean Ahoua Kwa Penati

Una Lipi la Kuzungumza Mwana Kijiweni?
Hongera kwao Simba