FT : Kagera Sugar FC 0 Yanga SC 2 Mwananchi Wa KIJIWENI 🔰 Umeionaje Yanga Ya NBCPL 24/25?

Kijiweni

Administrator
Staff member
Nov 7, 2022
489
643
125
Mchezo wa Ligi Kuu Ya NBC kati ya Kagera Sugar dhidi ya Yanga umemalizika Kwa WANANCHI kuondoka na Ushindi wa bao 2 Kwa 0 lililofungwa na Maxi Nzengeli pamoja na Clement Mzize

Mwananchi Wa Kijiweni Umeionaje Yanga ya NBC Premier League?
 
@raphael_Maira

Mpiga Chabo
Aug 29, 2024
1
0

Ni ya kawaida saaaaaana na wakifanya masihara nafasi ya 6 inawahusu mwisho wa msimu
 
grayroberts

Mgeni
Aug 7, 2024
4
2
5
Gamondi anawachekosha wachezaji kila siku wale wale ndy maana leo wametoa game mbaya sana, kama aucho ajatoa zile pasi zake.
 
NEEMA JUMA

Mpiga Chabo
Aug 29, 2024
1
0
0
Fanya yooooote ila mwisho wa siku tunaangalia mshindi ni nani? Ivo hamnaga tuzo ya kukaba sana ila kuna tuzo ya ufungaji bora Mzize huyo Mzize huyo kampa Zengeli kaitaka tenaaaa hahahah ivi Yanga anafungwaje? Anafungwaje?////
 
Aug 17, 2024
6

😂😂😂 Inafungwaje zeno kasusa kwa neema kaitaka tena zeno uyoo zeno uyoo kaivusha kwa juma kaiomba tena zeno uyoo 🖐️🥰🥰