Yani bado watazid kuyatimbaWananchi wanapoteza Mechi ya pili mfululizo na kubakia mkiani kwenye Mchezo Wa Makundi Ligi Ya Mabingwa Afrika
Una Lipi La Kuzungumza Mwana Kijiweni?
Wakiacha utapeliNaamin yanga ni timu itakayo fanya vizuri katika mechi 4 zilizobaki
Ngoja tuone kwa mechi zilizobaki atafanya nnWananchi wanapoteza Mechi ya pili mfululizo na kubakia mkiani kwenye Mchezo Wa Makundi Ligi Ya Mabingwa Afrika
Una Lipi La Kuzungumza Mwana Kijiweni?
Mzize yupo majeruhShida ni kocha
Anaenda na mfumo vizuri ila hajatambua kuwa kwenye benchi anaacha watu wa maana kabisa....
Aziz alikuwa hana haja ya kuanza
Mzize unamuachaje bench
Abadili wachezaji angalau
yanga walistahir kufungwaTu
Ukitoa uchawi hii ndio yanga sasa
walisema sie tuna kikosi kibovu tunaishia robo kila mwaka wao msimu huuuu watafika finallyNa bado watapigika sana
Sisi Simba tunaumia sana baada ya juhudi kubwa ya kupandisha soka la Tanzania viwango vya juu,kuna hizi teams (Yanga na Azam) zilizojiona bora kushiriki CafCL znafanya vibaya jambo linalorudisha tena nyuma mpira wetu... Mtani utafungwa sana mpaka wale mashabiki waliotaka Yanga icheze na malaika waombe radhi,Toba...