FT : MC Alger 2 Yanga SC 0 | Una Lipi La Kuzungumza Mwana Kijiweni?

Aisha

Mpiga Chabo
Dec 8, 2024
1
0
0
Hakika bado nipo na imani nayo kuogopa kushindwa ndo kushindwa kwenyewe mimi bado naiamini timu yangu na viungo vyote naamini ipo siku tutarejea katika mfumo wote pia tunajifunza kupitia makosa ameen wananchi tusiikatie tamaa timu yetu bali tuzidi kuwatia moyo viungo wetu waongeze jitihada zaidi katika michezo ijayo
 

nasolo

Mpiga Chabo
Dec 8, 2024
3
0
0
Ila nmefurahi sanaaa kupoteza mwananchi maana angeshinda mtaan tusingekaa kwa aman Wana ubaya ubwela
 
Sep 29, 2024
3
1
5
Shida sio KOCHA shida n kwa wachezaj wengn mawasiliano yamekuwa hafifu uwanjan ingelkuwa KOCHA bas hata man city walkofikia sasa pep asingesalia katika viunga vya Etihad
 

hamphrey

Mpiga Chabo
Nov 25, 2024
6
0
0
Sisi Simba tunaumia sana baada ya juhudi kubwa ya kupandisha soka la Tanzania viwango vya juu,kuna hizi teams (Yanga na Azam) zilizojiona bora kushiriki CafCL znafanya vibaya jambo linalorudisha tena nyuma mpira wetu... Mtani utafungwa sana mpaka wale mashabiki waliotaka Yanga icheze na malaika waombe radhi,Toba...
😢😢😢